Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Kuna mawili inawezekana Gadner alijisahau pesa yake akaishia kutanua au ana mali zake(nyumba) ya siri ambayo Jide hajui. Imeandikwa''enyi waume ishini na wake zenu kwa akili'' yeye hakuishi kwa akili mpk mwanamke akamzidi akili .

Huu msemo wa "...enyi wanaume, ishini na wake zenu kwa akili" haueleweki kabisaaaaaaaaaaa!
 
Huu msemo wa "...enyi wanaume, ishini na wake zenu kwa akili" haueleweki kabisaaaaaaaaaaa!

Una maana kubwa na pana sana , mimi huwa nautafakari sana ,mwanamke ni kiumbe wa ajabu inahitaji akili, hekima na busara kuishi nae.
Unapoacha mwanamke awe na akili ndio hapo mali zote anaandika jina lake, mwanaume ni kichwa cha nyumba sasa ukiacha mwanamke awe kichwa cha nyumba ndio matokeo yake hayo.
 
Sasa itakula kwake, ukiwa jeuri kwenye mahusiano inapaswa uwe umejiandaa na matokeo, sasa yeye anahangaika na michepuko halafu hana hata pa kulala.

Michepuko awaachie akina CK na wakongo maana hao ndo vidume, wanapiga pumbu nje na kufanya jeur zote coz pesa anazo, sasa mwenzetu na sie apa maimuna kibajaji kujifanya bepari kumbe kuku wa kizungu, liache lihangaike
 
sante mkuu kwa kuliona hilo ila kisheria inabid wagawane zile walizochuma pamoja

Unaambiwa mali zote ni za jide, na zimeandikwa kwa jina la jide, kama kuchuma wote watakuwa walichuma maembe na sio mali, apeleke makende kwa michepuko yake uko
 
Gadner naye aache uchizi mimi pia naamini mali ni za Jide , hakuna mwanaume ambaye atanunua magari,kiwanja na ajenge nyumba halafu vyote aandike jina la mke wake, wanaume ni wabnafsi sana.Jide kwahapo namsifu alikuwa mjanja sana.
Gadner atafute hela akaanze maisha aache kulilia mali za mwanamke, yani mali za Jide zigawanywe halafu Gadner akatanue na mwanamke mwingine aha hapana sikubali. Hapa Jide akaze buti hasikubali

Haaaahaaa hapo ndipo naamini wanawake ni ajabu la 8 la Dunia maana zingekua mali zina jina la Garder ungeona mashirika ya kupigania haki za wanawake na mikelele yao nashindwa kuelewa inashindikana vipi Garder yeye kupata haki yake siamini kua toka 2005 mpaka leo almost 9-10 years kua jamaa hana mchango kwenye mali za familia yao ni wapuuzi wachache wataamini kua jamaa hana mchango mbona sisi tunagawana tukiwaacha tena mke ni mama wa nyumbani lakini tunathamini mchango wa kulea watoto tu ifike wakati kilio cha haki sawa au 50/50 mkielewe kwa undani kwa tuishio uku Mbwinde ngumu kuelewa ila watoto wa mjini wanajua sacrifies ya Garder kwenye upatikanaji wa mali hizo.
Kumuambia G aanze upya ni kudharau jasho lake kwa miaka 9 naamini Jide anakwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho.
Kabla ya kumlaumu Garder tujiulize kama tukivaa viatu vyake tunaweza kutembea navyo hata km 1.
"Don judge a man till u walk a mile in his shoes"
 
Unaambiwa mali zote ni za jide, na zimeandikwa kwa jina la jide, kama kuchuma wote watakuwa walichuma maembe na sio mali, apeleke makende kwa michepuko yake uko

mkuu mfano umeoa kisha ukaanzisha kampuni kisha ukamuajiri mkeo kampunini unafikiri hyo mali itakua yako au yenu
 
Lakini hapa ilikuwaje Gadner akaruhusu mali zote ziandikwe jina la Jide?? Halafu Gadner si alikuwa anafanya kazi Clouds fm/Times Fm na analipwa Mshahara?? Ina maana hela zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide?? halafu watu mbona hawajishugulishi kuhoji zilipo mali za Gadner??
 
Mali za Gadna zipo kwaoooo
 
Unaambiwa mali zote ni za jide, na zimeandikwa kwa jina la jide, kama kuchuma wote watakuwa walichuma maembe na sio mali, apeleke makende kwa michepuko yake uko

Hahahaaaaaa
 
Lakini hapa ilikuwaje Gadner akaruhusu mali zote ziandikwe jina la Jide?? Halafu Gadner si alikuwa anafanya kazi Clouds fm/Times Fm na analipwa Mshahara?? Ina maana hela zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide?? halafu watu mbona hawajishugulishi kuhoji zilipo mali za Gadner??

Huyo Gardener ana mali gani?angekua nazo unadhani angehangaika hivi?
 
gadner mwaya usikubali lazima upate haki yako mliyochuma pamoja...nimeamini jide ni mbinafsi ndo mana kila kitu akajiadika yeye..flora mbasha na jide lao moja!! wanaume kuwafanya mabodigadi mkisahau michongo mlikuwa mnasukiwa!!
 
Ye ameshafaidi alipokuwa nae,sasa awaachie wenzie.ye c anajifanya kidume akatafute sasa nahao wanawake zake waliokua nao.
 
Huyo Gardener ana mali gani?angekua nazo unadhani angehangaika hivi?

Kwa nini asiwe nazo? amekuwa mtangazaji wa Clouds kwa miaka zaidi ya 7 Amekuwa jingles za kutosha tu amekuwa meneja wa wasanii kadhaa hapa town unataka kusema huku pote hakuchuma mkwanja kabisaa??? halafu juzi kati hapa inasemekana kavuta mzigo punda haruki pale EFM aaahh Mbona Gadner mchakarikaji mzuri tuu huu mkwanja wote anaupeleka wapiii???
 
Gardner ni haki yake kisheria as long as mali zilipatikana ndani ya ndoa. Haijalishi kachangia sh. ngapi, support ni mchango tosha. Ndio maana hata mama wa nyumbani hudai mgao wake pindi wakitalakiana. Jide aache kabisa ubinafsi
 
HALI tete !

“Gardner anataka mgawo wake, lakini sasa utata ulioibuka ni kwamba, inaonekana kama
mali zote ni za Jide kwa vile zimeandikwa majina yake hivyo jamaa ana wasiwasi kwamba Jide anaweza kusema mahakamani
kuwa alizichuma mali hizo kabla ya ndoa , ” kilisema chanzo hicho kilicho jirani na familia hiyo .

Chanzo hicho kiliendelea kudai kwamba, utata huo umemfanya Gardner kuwa bize ili kuhakikisha anaumaliza hususan kwenye
nyumba yao iliyopo Mbezi ambapo wengi wanaamini ilijengwa kwa kutumia fedha ya Jide kabla hawajafunga ndoa .

MALI ZINAZOTAJWA

Mali zinazotajwa kuibua utata ni Mgahawa wa Nyumbani Lounge uliopo Kinondoni, Dar ambao hivi karibuni Jide aliubadili jina na
kuuita M .O . G Restaurant .
Mgahawa huo walipangishwa na mtu.Gari aina ya Range Rover Evoque linalomilikiwa na Judith Wambura ‘Lady Jaydee .

Kuna madai kwamba, Jide na Gardner kabla ya ndoa yao kuparaganyika walikwenda kwa
mmiliki huyo na kusema wameamua kuuacha baada ya mkataba wao kumalizika . Lakini kilichoonekana baadaye, Jide alirudi kwa njia
ya uani na kuanzisha mkataba mpya bila Gardner na kuuita M. O .G .

Mali nyingine mbali na nyumba na mgahawa ni mabasi madogo mawili aina ya Toyota Hiace , moja la Machozi Band na la M .O .G Restaurant . Mabasi hayo yameandikwa Lady Jaydee & Machozi Band .

Hata hivyo , yapo madai kwamba Machozi Band nayo imebadilishwa jina, sasa inaitwa Lady Jaydee
& The Band
.

Mali nyingine ni Albamu zote za Jide alizotoa tangu mwaka 2005 wakiwa tayari kwenye ndoa ambapo kwa kawaida mauzo yake ni
endelevu na gari la kutembelea aina ya Range Rover Vogue .

Albamu hizo ni Moto ( 2005) , Shukrani, The Best of Lady Jaydee ( 2006 ) na Nothing But the Truth ( 2014 ) .

Hapo kwenye red... kama Jide alijenga nyumba kabla ya ndoa, kiuhalali ni yake na siyo ya GH. Sio swala la JD kusema mahakamani vithibitisho vitaonyesha

kwenye green: Usajili wa kampuni na assets za Machozi band na MOG restaurant ndio zitatoa muongozo kuhusu mali za hizo kampuni. kampuni inasimama kama separate entity. Mali za kampuni (pamoja na magari) zinabaki kuwa za kampuni siyo za jide. Swali ni kwamba, je GH naye ni mmiliki halali wa kampuni ili aendelee kufaidika na faida itakayokuwa inatengenezwa na kampuni

Kwa ufupi, ndio maana celebrities wa US na Europe wengi huwa wanaoa celebrities wenzao ili kuondoa hii habari ya mtu kuoa/kuolewa na celebrity ili achume mali. Mkiwa wote mpo vizuri kipesa kama Beyonce na Jay Z, Beckham na Posh, mkivunja mkataba kwenye mgao kila mtu inakula kwake. Ni risk kwa celebrity kuolewa na mtu asiyekuwa na pesa

Ni mtizamo wangu tu
 
Una maana kubwa na pana sana , mimi huwa nautafakari sana ,mwanamke ni kiumbe wa ajabu inahitaji akili, hekima na busara kuishi nae.
Unapoacha mwanamke awe na akili ndio hapo mali zote anaandika jina lake, mwanaume ni kichwa cha nyumba sasa ukiacha mwanamke awe kichwa cha nyumba ndio matokeo yake hayo.

Kichwa cha nyumba bila pesa? ni ngumu mno. Enzi bible inaandikwa, wanaume walikuwa bread earners so automatically walikuwa vichwa vya nyumba. Hawa wanaume wa sasa wamesahau majukumu ya utafutaji na kuhudumia familia, ni ngumu sana kuwa father house
 
Gardner ni haki yake kisheria as long as mali zilipatikana ndani ya ndoa. Haijalishi kachangia sh. ngapi, support ni mchango tosha. Ndio maana hata mama wa nyumbani hudai mgao wake pindi wakitalakiana. Jide aache kabisa ubinafsi

Mkuu kuna kesi moja ya mambo ya ndoa ya Bi Hawa Mohammed dhidi ya Bwana Ally Seif (1983) hapa inaakisi kabisa na ishu hii ya JD na gardener. Let's wait and see.
 
Back
Top Bottom