Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Lakini hapa ilikuwaje Gadner akaruhusu mali zote ziandikwe jina la Jide?? Halafu Gadner si alikuwa anafanya kazi Clouds fm/Times Fm na analipwa Mshahara?? Ina maana hela zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide?? halafu watu mbona hawajishugulishi kuhoji zilipo mali za Gadner??

Gadner kawekeza TBL na Kwa Bibi.
 
Hapo kwenye red... kama Jide alijenga nyumba kabla ya ndoa, kiuhalali ni yake na siyo ya GH. Sio swala la JD kusema mahakamani vithibitisho vitaonyesha

kwenye green: Usajili wa kampuni na assets za Machozi band na MOG restaurant ndio zitatoa muongozo kuhusu mali za hizo kampuni. kampuni inasimama kama separate entity. Mali za kampuni (pamoja na magari) zinabaki kuwa za kampuni siyo za jide. Swali ni kwamba, je GH naye ni mmiliki halali wa kampuni ili aendelee kufaidika na faida itakayokuwa inatengenezwa na kampuni

Kwa ufupi, ndio maana celebrities wa US na Europe wengi huwa wanaoa celebrities wenzao ili kuondoa hii habari ya mtu kuoa/kuolewa na celebrity ili achume mali. Mkiwa wote mpo vizuri kipesa kama Beyonce na Jay Z, Beckham na Posh, mkivunja mkataba kwenye mgao kila mtu inakula kwake. Ni risk kwa celebrity kuolewa na mtu asiyekuwa na pesa

Ni mtizamo wangu tu

shikamooo mkuu
 
Issue zingine mbona ndogo sana......JIDE kubadili majina ya umiliki wa mali zake haitosaidia labda kama hayatotumia majina yake kwenye ownership kule BRELA na usajili mwingine kama TIN n.k ......kama bado umiliki ni wake bado Gadner ana haki zote maana ndoa haijavunjwa rasmi kisheria.....chochote atakachonunua sasa Gadner au JIDE itabaki kuwa mali zao wote hadi pale ndoa itapokufa kisheria.......pengine wanataka kutumia skendo hii kibiashara ........
 
Kuandika mali kwa jina lako hakumnyimi mwanandoa mwenzio haki kisheria kama mlichuma kipindi cha uhai wa ndoa.Zile utazochuma baada ya ndoa kuvunjika kisheria ndio zitakuwa zako.
 
Kuna siku humu niliwahi kuandika kuwa ule Mgahawa wala sio wa Jide bali pale ni Wapangaji kama wapangaji wengine waliopanga kwenye lile jengo acha #warumi team jide anitukane, nikaamua nipotezee tu. Kwenye hilo bandiko lako ulilokopi toka grobal ndo wamemaliza ubishi wako kuwa lile jengo anapanga. Sijaona unakanusha kama grobal ni waongo bshaka ndo ukweli wenyewe na huo ubishi tumeuzika leo kuwa jide mpangaji pale.

Tatizo Gadner anashindwa kuelewa kuwa zile mali zimetokana na kipaji cha Jay Dee na yeye alikua ni Meneja wa jide bshaka alikua analipwa mshahara. Unaposhindwana na bosi wako unabwaga unaenda kutafta maisha sehemu nyingine. Haki za wanawake huwezi kuzililia zifanye kazi upande wa pili wa jinsia.
 
gadner arudi kwa mke wake wa kwanza wakagawane mali alizo chuma wakiwa wote aking'ang'ania za jide anatia aibu nani hajui alimkuta jide na mali zake utakoma kaka jipange komando jide kile kichwa hhh hati zote kwa jina la demu hunachako hapo bro anza kuchuma vyako.
 
Mapenzi ya nguvu ya soda ni balaa!yakikatika inakua chui na paka
 
gadner arudi kwa mke wake wa kwanza wakagawane mali alizo chuma wakiwa wote aking'ang'ania za jide anatia aibu nani hajui alimkuta jide na mali zake utakoma kaka jipange komando jide kile kichwa hhh hati zote kwa jina la demu hunachako hapo bro anza kuchuma vyako.

kashaolewa hana khabari na ana good life gadner hana maana yule na hawakua na chochote
 
Hakuna kwenye utata kwenye hili swala sema Global wanajaribu lionekane lina utata!

Hawa watu wanajulikana walifunga ndoa lini na wana cheti cha ndoa!
Hawa watu vitu vyote walivyo vinunua vina vielelezo vilinunuliwa lini ...

Kama kweli Jide amendika jina lake mali zote lakini lazima kuna makubaliano kwanini alifanya hivyo na lazima kuna mali G hana mchango wowote!

Pamoja na hayo yote Gardner ana mchango katika maendeleo ya Jide na wala hili haliitaji ushahidi..

Hili swala halina utata kabisa maana kila kitu(Mali) kina vielelezo hivyo kila mtu atapata kulingana na mchango wake kwenye kila kitu!
 
Kichwa cha nyumba bila pesa? ni ngumu mno. Enzi bible inaandikwa, wanaume walikuwa bread earners so automatically walikuwa vichwa vya nyumba. Hawa wanaume wa sasa wamesahau majukumu ya utafutaji na kuhudumia familia, ni ngumu sana kuwa father house

Ndio tatizo linapoanzia hapo wanaume wa siku hizi wanaoa mwanamke kwa kuangalia kipato chake na atasaidia vipi familia! Ndio maana nasema Gadner kama hana hata mali moja iliyoandikwa kwa jina lake mimi siwezi muelewa kwanini aliacha mali zote zikawa ktk jina la mkewe? Gadner amekuwa ndani ya ajira zaidi ya 10yrs nadhani lazima alikuwa na mchango/kipato chake kama baba wa familia, kuacha mali zote ziwe chini ya mkewe ni sawa na kuwa mke ndie alikuwa kichwa cha nyumc
 
Haaaahaaa hapo ndipo naamini wanawake ni ajabu la 8 la Dunia maana zingekua mali zina jina la Garder ungeona mashirika ya kupigania haki za wanawake na mikelele yao nashindwa kuelewa inashindikana vipi Garder yeye kupata haki yake siamini kua toka 2005 mpaka leo almost 9-10 years kua jamaa hana mchango kwenye mali za familia yao ni wapuuzi wachache wataamini kua jamaa hana mchango mbona sisi tunagawana tukiwaacha tena mke ni mama wa nyumbani lakini tunathamini mchango wa kulea watoto tu ifike wakati kilio cha haki sawa au 50/50 mkielewe kwa undani kwa tuishio uku Mbwinde ngumu kuelewa ila watoto wa mjini wanajua sacrifies ya Garder kwenye upatikanaji wa mali hizo.
Kumuambia G aanze upya ni kudharau jasho lake kwa miaka 9 naamini Jide anakwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho.
Kabla ya kumlaumu Garder tujiulize kama tukivaa viatu vyake tunaweza kutembea navyo hata km 1.
"Don judge a man till u walk a mile in his shoes"

Nakubaliana nawe 100% Kwamba Gadner ana mchango mkubwa sana ktk mafanikio yao.Gadner hakusimama kama mwanaume wa kiafrika na kuwa na akili angalau kwa namna moj naye awe mmiliki wa kitu fulani ktk hivyo walivyochuma. Kumwachia mwanake umiliki wote inaleta picha ni namna gani Gadner alikuwa mzembe au akinyanyasika ndani ya mahusiano. Ndoa ambayo mwanamke anamiliki kila kitu hazidumu sababu wanawake wengi wanavumilia kukaa ktk ndoa sababu ya mali.
 
Lakini hapa ilikuwaje Gadner akaruhusu mali zote ziandikwe jina la Jide?? Halafu Gadner si alikuwa anafanya kazi Clouds fm/Times Fm na analipwa Mshahara?? Ina maana hela zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide?? halafu watu mbona hawajishugulishi kuhoji zilipo mali za Gadner??

Mali ni za jaydee sasa suala la kuruhusu mtu kuandika jina lake kwenye vitu anavyomiliki ni vibaya? Cha muhimu ajipange tu kimaisha aanze upyaaa
 
Kwa nini asiwe nazo? amekuwa mtangazaji wa Clouds kwa miaka zaidi ya 7 Amekuwa jingles za kutosha tu amekuwa meneja wa wasanii kadhaa hapa town unataka kusema huku pote hakuchuma mkwanja kabisaa??? halafu juzi kati hapa inasemekana kavuta mzigo punda haruki pale EFM aaahh Mbona Gadner mchakarikaji mzuri tuu huu mkwanja wote anaupeleka wapiii???

Ivi utangazaji na wenyewe ni kazi ya kufanya mtu ajishebedue nayo? Mi nilikuwa sijiu
 
Gadner naye aache uchizi mimi pia naamini mali ni za Jide , hakuna mwanaume ambaye atanunua magari,kiwanja na ajenge nyumba halafu vyote aandike jina la mke wake, wanaume ni wabnafsi sana.Jide kwahapo namsifu alikuwa mjanja sana.
Gadner atafute hela akaanze maisha aache kulilia mali za mwanamke, yani mali za Jide zigawanywe halafu Gadner akatanue na mwanamke mwingine aha hapana sikubali. Hapa Jide akaze buti hasikubali

Angekuwa mwanamke mngesema sana, ooh alkuwa anampikia chai, anamfulia chupi, sheria msumeno , umetaka talaka kila kitu kiwekwe kati
 
Back
Top Bottom