Mgao wa milioni 500 kila jimbo kwa ajili ya barabara za jimboni

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Zanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.

Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha milioni 500*9
Sawa na bilioni 4.5

Hoja yangu:
Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia ukubwa wa jimbo na uhitaji?
Vizazi vyetu vitatushangaa sana miaka ijayo.
Kazi iendelee.
 
Hata kwenye mfumo wa vyama vingi ni hivyo hivyo, hujajiuliza kwa nini haki hizi hudaiwa sana na wachaga? Mwenyekiti was TLP mchaga, Mwenyekiti CHADEMA mchaga, Mwenyekiti NCCR mageuzi mchanga.
Wakristo wanaamini taifa LA Mungu ni Israel wengine wote mataifa ya shetani. Waislamu wanaamini lugha ya Mungu ni kiarabu lugha nyingine zote za shetani. Usawa haupo, na mgao hatuwezi kuwa sawa. Wala Uzanzibari na Uzanzibara haviwezi kuwa sawa.
MWAMBA TUVUSHE.
 
Viongozi wetu wanaogopa nini kutetea haya mambo?
Mbona wabunge wa Zanzibar wako mbele kutetea haki zao.
 
Mkuu weñgine hatukusomea hesabu. Tunagawa hivyo hivyo. JMP tutamkumbuka
 
Zanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.

Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha milioni 500*9
Sawa na bilioni 4.5

Hoja yangu:
Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia ukubwa wa jimbo na uhitaji?
Vizazi vyetu vitatushangaa sana miaka ijayo.
Kazi iendelee.
Kila kitu kwa sasa ni Zanzibar mazee
 
Hata kwenye mfumo wa vyama vingi ni hivyo hivyo, hujajiuliza kwa nini haki hizi hudaiwa sana na wachaga? Mwenyekiti was TLP mchaga, Mwenyekiti CHADEMA mchaga, Mwenyekiti NCCR mageuzi mchanga.
Wakristo wanaamini taifa LA Mungu ni Israel wengine wote mataifa ya shetani. Waislamu wanaamini lugha ya Mungu ni kiarabu lugha nyingine zote za shetani. Usawa haupo, na mgao hatuwezi kuwa sawa. Wala Uzanzibari na Uzanzibara haviwezi kuwa sawa.
MWAMBA TUVUSHE.
Sipendi mada hii igeuke kwenye dini, wapi uislam umesema lugha nyingine zoote ni za shetani.. Tuongee ila tusiropokwe.
 
Mambo ya muungano ni yapi? Hii nji inachanganyaga sana.
 
Ndio faida ya kuwa na Katiba
Watu wanapata kiulaini
Na nyie si mnakomaa kuwapelekea watu wa Bara
Sasa acheni Zanzibar ing'ae
Tukae kwa kutulia
 
Jambo la msingi ni kila jimbo lipate pesa..unaweza kuwa mdogo lakini una mahitaji makubwa na pia unaweza kuwa mkubwa ukawa na mahitaji machache.
 
Back
Top Bottom