Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kavu kweli wale jamaaBado wanalalamika kuwa Muungano umewabana
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kavu kweli wale jamaaBado wanalalamika kuwa Muungano umewabana
Viongozi wetu wanaogopa nini kutetea haya mambo?
Mbona wabunge wa Zanzibar wako mbele kutetea haki zao.
MkuuZanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.
Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha milioni 500*9
Sawa na bilioni 4.5
Hoja yangu:
Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia ukubwa wa jimbo na uhitaji?
Vizazi vyetu vitatushangaa sana miaka ijayo.
Kazi iendelee.
Kuna tofauti kubwa kati yaJambo la msingi ni kila jimbo lipate pesa..unaweza kuwa mdogo lakini una mahitaji makubwa na pia unaweza kuwa mkubwa ukawa na mahitaji machache.
Walisema kila jimbo, hawakusema majimbo ya Tanganyika tu...Hivi Znz wako kwenye huu mgao?
..Ujenzi na Miundombinu sio suala la muungano.
Time will tellMkuu
Usisumbuke kusugua ubongo wako kuhusiana na hilikwa sababu bwawa la kuhifadhi maji limefunguliwa milango yote bila kujali mahitaji stahiki ya watumiaji maana wengi wenye mazao mengi kwenye kubwa kwa kiwango sawa cha maji yaliyoachiwa hayawezi kulingalihsa na uhimilivu wa bustani.
Muda mchache ujao ardhi ikishiba maji itayatema nje (retention level will be elevated due to water table saturation) hapo ndipo kiburi cha bayana kitakapoibuka kwa majivuno.......
Acha kuchanganya madesa fedha hizi kwa kwa ajili ya Tanzania Bara tu, Zanzibar haziwahusu!Zanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.
Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha milioni 500*9
Sawa na bilioni 4.5
Hoja yangu:
Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia ukubwa wa jimbo na uhitaji?
Vizazi vyetu vitatushangaa sana miaka ijayo.
Kazi iendelee.
Duuh! Duniani kuna watu na viatu!Hata kwenye mfumo wa vyama vingi ni hivyo hivyo, hujajiuliza kwa nini haki hizi hudaiwa sana na wachaga? Mwenyekiti was TLP mchaga, Mwenyekiti CHADEMA mchaga, Mwenyekiti NCCR mageuzi mchanga.
Wakristo wanaamini taifa LA Mungu ni Israel wengine wote mataifa ya shetani. Waislamu wanaamini lugha ya Mungu ni kiarabu lugha nyingine zote za shetani. Usawa haupo, na mgao hatuwezi kuwa sawa. Wala Uzanzibari na Uzanzibara haviwezi kuwa sawa.
MWAMBA TUVUSHE.