Viongozi wetu wanaogopa nini kutetea haya mambo?Hata kwenye mfumo wa vyama vingi ni hivyo hivyo, hujajiuliza kwa nini haki hizi hudaiwa sana na wachaga? Mwenyekiti was TLP mchaga, Mwenyekiti CHADEMA mchaga, Mwenyekiti NCCR mageuzi mchanga.
Wakristo wanaamini taifa LA Mungu ni Israel wengine wote mataifa ya shetani. Waislamu wanaamini lugha ya Mungu ni kiarabu lugha nyingine zote za shetani. Usawa haupo, na mgao hatuwezi kuwa sawa. Wala Uzanzibari na Uzanzibara haviwezi kuwa sawa.
MWAMBA TUVUSHE.
Kila kitu kwa sasa ni Zanzibar mazeeZanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.
Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha milioni 500*9
Sawa na bilioni 4.5
Hoja yangu:
Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia ukubwa wa jimbo na uhitaji?
Vizazi vyetu vitatushangaa sana miaka ijayo.
Kazi iendelee.
Pia kwenye hayo majimbo ya Zanzibar kuna wawakilishi tenaViongozi wetu wanaogopa nini kutetea haya mambo?
Mbona wabunge wa Zanzibar wako mbele kutetea haki zao.
Siyo mbaya, acha Zanzibar ipendeze.Kila kitu kwa sasa ni Zanzibar mazee
Teuzi Zanzibar na kila kitu kitakuwa ZanzibarSiyo mbaya, acha Zanzibar ipendeze.
Sipendi mada hii igeuke kwenye dini, wapi uislam umesema lugha nyingine zoote ni za shetani.. Tuongee ila tusiropokwe.Hata kwenye mfumo wa vyama vingi ni hivyo hivyo, hujajiuliza kwa nini haki hizi hudaiwa sana na wachaga? Mwenyekiti was TLP mchaga, Mwenyekiti CHADEMA mchaga, Mwenyekiti NCCR mageuzi mchanga.
Wakristo wanaamini taifa LA Mungu ni Israel wengine wote mataifa ya shetani. Waislamu wanaamini lugha ya Mungu ni kiarabu lugha nyingine zote za shetani. Usawa haupo, na mgao hatuwezi kuwa sawa. Wala Uzanzibari na Uzanzibara haviwezi kuwa sawa.
MWAMBA TUVUSHE.
Bado wanalalamika kuwa Muungano umewabanaKweli usawa haujawahi kutokea duniani
Nalog off
Kwa hiyo umeuona uislamu tu, huo ndo hutaki uguswe?Sipendi mada hii igeuke kwenye dini, wapi uislam umesema lugha nyingine zoote ni za shetani.. Tuongee ila tusiropokwe.
Naongea ninachokijua, sijui hayo mengine, siwezi zungumzia nisichokijua... Kama kuna anaejua kuhusu Ukristo nae atasema ukweli, anaejua ukweli kuhusu TLP nae atasema.Kwa hiyo umeuona uislamu tu, huo ndo hutaki uguswe?