Mgao wa milioni 500 kila jimbo kwa ajili ya barabara za jimboni

Mkuu


Usisumbuke kusugua ubongo wako kuhusiana na hilikwa sababu bwawa la kuhifadhi maji limefunguliwa milango yote bila kujali mahitaji stahiki ya watumiaji maana wengi wenye mazao mengi kwenye kubwa kwa kiwango sawa cha maji yaliyoachiwa hayawezi kulingalihsa na uhimilivu wa bustani.

Muda mchache ujao ardhi ikishiba maji itayatema nje (retention level will be elevated due to water table saturation) hapo ndipo kiburi cha bayana kitakapoibuka kwa majivuno.......
 
Jambo la msingi ni kila jimbo lipate pesa..unaweza kuwa mdogo lakini una mahitaji makubwa na pia unaweza kuwa mkubwa ukawa na mahitaji machache.
Kuna tofauti kubwa kati ya
Equity, Equality na Reality
 
Time will tell
 
Acha kuchanganya madesa fedha hizi kwa kwa ajili ya Tanzania Bara tu, Zanzibar haziwahusu!
 
Duuh! Duniani kuna watu na viatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…