Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akipewa taarifa hii, kama ni kweli, hakuna hatakachofanya....Habari mkuu
Nadhani Mama Dr.SSH hajapewa taarifa juu ya huu ufisadi. Naomba washauri wa mama wampe taarifa na wampe ushauri stahiki wa jinsi ya kuushughulikia huu ufisadi.
Ahsante
Kwake haujawahi kukatika hata sekunde atajuaje mkuuuhivi mama mkwe wa mchengerwa atakuwa anajua kweli hii kadhia ya umeme kukatika?
Ndo wanaopanga hayo mambo walivyo na ufinyu wa akiliKuhujumu Uchumi wa wananchi maskini Ili kupata sababu ya kumwangusha kisiasa kiongozi Fulani , IT'S NOT FAIR!!
Laana akawe juu ya MakambaMambo ya ccm huko
Ova
Kwa walivyo mazuzu watakupongezaAnguko la kisiasa dhidi ya mtu limeandaliwa vizuri sana
CCM Hoyeeee
Na hawakubali kutoka hata kwa virunguSiku tukiwatoa CCM madarakanj ndo tutajua uozo mwingi
Ma ccm wanahujumianaKuhujumu Uchumi wa wananchi maskini Ili kupata sababu ya kumwangusha kisiasa kiongozi Fulani , IT'S NOT FAIR!!
Tatizo upo slow mno kuelewa😀Kwa walivyo mazuzu watakupongeza
Nachukia kuwa mtanzania Kwa kasi sanaView attachment 2758556
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV.
Pia limekuja wakati ambapo kuna harakati za serikali kununua umeme kutoka kwenye kampuni ya Pan African Energy Tanzania Ltd (PAET), yeye vinu vyake huko kusini mwa Tanzania. Kampuni ya PAET ni kama IPTL.
Hadi 2015 kampuni ya IPTL ilimilikiwa na Mechmar pamoja na VIP Engineering. Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 15, baada ya 2015 umiliki wa IPTL ulitakiwa uhamie serikalini.
Miaka 2 kabla ya muda wa mkataba kuisha, ikulu ya Tanzania chini ya Rais Kikwete iliuza IPTL kwa Singh Habinder wa PAP na kuwawezesha kina Singh kupata access ya pesa kwenye account ya Escrow pale Benki Kuu.Nao kina Singh waligawana na kubeba pesa taslim kutoka Stanbic Bank.
Sasa kampuni ya Pan-African Energy iko inazalisha umeme ili kuiuzia serikali kama ilivyokuwa inafanya IPTL. Mradi wa Kinyerezi IV umesitishwa ili kutengeneza uhaba wa umeme na hivyo Pan-African Energy kupata uhalali wa kuiuzia serikali umeme.
Wapiga dili na madalali wa kuuza nchi walioshuhudiwa katika enzi za Kikwete wamerudi ikulu!
Lengai Ole Sabaya pamoja na matatizo yake yote aliwahi kuongea juu ya hili kama ifuatavyo:
Kumbe? Hii ndio Nchi ya kinini?Ukisikia nchi ya kikuma duniani ndo hii.