Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

A
Bingwa - $4 000 000 / Shilingi bilioni 10 -

Mshindi wa pili - $3 000 000 / Shilingi bilioni 7.5 -

Kuiingia nusu fainali - $1 700 000 / Shilingi bilioni 4.2 -

Timu zitazotolewa mwanzo - $1 000 000 / Shilingi bilioni 2.5 k


Chanzo - CAF announces Prize Money for the Inaugural African Football League (“AFL”)
Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
 
A

Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Mkuu soma hio source ya Caf niliyoweka, kila kitu kimewekwa wazi kwamba hizo bilioni 2 na nusu zina cover kila kitu, Caf hawanaga tetesi wala longolongo kwenye mambo ya mitonyo wanaweka kila kitu wazi, kama kiingereza kinapiga chenga tumia google translate.

Ukitegemea kila habari uipate kwa hawa wachambuzi wetu ambao hata wao kiingereza kinawapiga chenga huwa wanaishia kutunga tu vitu ambavyo havina ushahidi
 
Hizo gharama wanazirudishaje? Au ndio tutaendelea kushuhudia mfurulizo wa sare kumbe nyuma ya pazia kuna mengi?
 
Mkuu soma hio source ya Caf niliyoweka, kila kitu kimewekwa wazi kwamba hizo bilioni 2 na nusu zina cover kila kitu, Caf hawanaga tetesi kwenye mambo ya mitonyo wanaweka kila kitu wazi, kama kiingereza kinapiga chenga tumia google translate
Kabla mashindamno hayajaanza kila timu ilikula dola milioni 2. Lengo ;likiwa ni usajili na maandalizi kabla ya mashindano. Hizi walizoweka sasa ni za "prizes" baada ya kuanza mashindano!! Na walijiandaa kuanza na klabu 24 japo zilpunguzwa kuwa nane!! Ona hapa:

A total of 24 clubs -- eight each from the north, west/centre and south/east regions chosen on merit -- would compete and get $2.5 mn each in advance to buy players and cover travel costs.

Usichanganye pesa ya prizes na ya preparation (to buy players and cover travel costs). Simba alishakula tayari $2.5M, na sasa atakula $1M. Utpolo wakilia wivu ninawaelewa kabisa!!
 
Kabla mashindamno hayajaanza kila timu ilikula dola milioni 2. Lengo ;likiwa ni usajili na maandalizi kabla ya mashindano. Hizi walizoweka sasa ni baada yua kuanza mashindano!!
Caf hawanaga longolongo, kila kitu wanachapisha mtandaoni, hizo ni stori za vijiweni, ingia tovuti ya caf niliyo ambatanisha , lugha ikikupiga chenga tumia google translate
 
Caf hawanaga longolongo, kila kitu wanachapisha mtandaoni, hizo ni stori za vijiweni, ingia tovuti ya caf niliyo ambatanisha , lugha ikikupiga chenga tumia google translate
Kama ni kweli haujui kuwa kila timu ilishakula $2M kabla mashindano kuanza pole sana!!
 
Kama ni kweli haujui kuwa kila timu ilishakula $2M kabla mashindano kuanza pole sana!!
Naomba chanzo cha CAF

Tatizo hapa Tanzania lugha ya kiingereza ni changamoto sana na wachambuzi hutumia mwanya huu kupenyeza habari ambazo hazipo na watu wengi wakaziamini sababu hawawezi kuzihakikisha kwenye vyanzo vinavyotumia lugha wasiyoijua.

Hizo pesa zimo ndani ya bajeti sio sandakalawe, kila matumizi ya mashindano yanarekodiwa kwenye matumizi ya caf na kuyatangaza

Naomba chanzo official cha caf sio wachambuzi ambao hata wao lugha zinawapiga chenga
 
Back
Top Bottom