sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mechi ya 3 ipi ?Si mbaya kwa mechi 3
Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?Bingwa - $4 000 000 / Shilingi bilioni 10 -
Mshindi wa pili - $3 000 000 / Shilingi bilioni 7.5 -
Kuiingia nusu fainali - $1 700 000 / Shilingi bilioni 4.2 -
Timu zitazotolewa mwanzo - $1 000 000 / Shilingi bilioni 2.5 k
Chanzo - CAF announces Prize Money for the Inaugural African Football League (“AFL”)
Mkuu soma hio source ya Caf niliyoweka, kila kitu kimewekwa wazi kwamba hizo bilioni 2 na nusu zina cover kila kitu, Caf hawanaga tetesi wala longolongo kwenye mambo ya mitonyo wanaweka kila kitu wazi, kama kiingereza kinapiga chenga tumia google translate.A
Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Yani watu waonee wivu pesa za Mo Dewji?A
Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Yani watu waonee wivu pesa za Mo Dewji?
Akili za utopoloSi mbaya kwa mechi 3
Hujawahi kuwa na akili.Yani watu waonee wivu pesa za Mo Dewji?
Labda kombe la ujiSimba tunachukua kombe
ya IhefuMechi ya 3 ipi ?
Hii yenyewe umeandika huku ukisononeka 😀Yani watu waonee wivu pesa za Mo Dewji?
[emoji1548][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]Simba tunachukua kombe
Kabla mashindamno hayajaanza kila timu ilikula dola milioni 2. Lengo ;likiwa ni usajili na maandalizi kabla ya mashindano. Hizi walizoweka sasa ni za "prizes" baada ya kuanza mashindano!! Na walijiandaa kuanza na klabu 24 japo zilpunguzwa kuwa nane!! Ona hapa:Mkuu soma hio source ya Caf niliyoweka, kila kitu kimewekwa wazi kwamba hizo bilioni 2 na nusu zina cover kila kitu, Caf hawanaga tetesi kwenye mambo ya mitonyo wanaweka kila kitu wazi, kama kiingereza kinapiga chenga tumia google translate
Caf hawanaga longolongo, kila kitu wanachapisha mtandaoni, hizo ni stori za vijiweni, ingia tovuti ya caf niliyo ambatanisha , lugha ikikupiga chenga tumia google translateKabla mashindamno hayajaanza kila timu ilikula dola milioni 2. Lengo ;likiwa ni usajili na maandalizi kabla ya mashindano. Hizi walizoweka sasa ni baada yua kuanza mashindano!!
Kama ni kweli haujui kuwa kila timu ilishakula $2M kabla mashindano kuanza pole sana!!Caf hawanaga longolongo, kila kitu wanachapisha mtandaoni, hizo ni stori za vijiweni, ingia tovuti ya caf niliyo ambatanisha , lugha ikikupiga chenga tumia google translate
Naomba chanzo cha CAFKama ni kweli haujui kuwa kila timu ilishakula $2M kabla mashindano kuanza pole sana!!