Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

Kwahiyo timu zimechaguliwa na kuanza kucheza tu. Halafu wasubiri prize money? [emoji23][emoji23] Kuna pesa ya maandalizi mkuu.
 
Kwahiyo timu zimechaguliwa na kuanza kucheza tu. Halafu wasubiri prize money? [emoji23][emoji23] Kuna pesa ya maandalizi mkuu.
Michuano yote ya caf pesa zinalipwa mpaka mashindano yaishe.

Ikitokea timu haina pesa za kujiandaa basi ni mpaka labda ibembeleze ipewe hela za usafiri na chakula na malazi lakini hio pesa itakatwa kwenye pesa kamili itayopewa mashindano yakiisha.

Wabongo wengi lugha ni changamoto kufuatilia vyanzo official vya CAF na inakuwa rahisi wachambuzi kuaminisha uongo, nakumbuka ni hawa hawa wachambuzi walidanganya kwamba timu zinachukua pesa za kufuzu hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali, fainali, ubingwa wakati utaratibu haupo hivyo.

Na hio ya kila timu kupewa pesa za maandalizi tofauti na zilizopangwa kwenye bajeti ni stori za wachambuzi zisizo na ushahidi ama zilikuwa ni tetesi, kama sio weka ushahidi wa caf
 
A

Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Hakuna pesa ya bure subirini mapacha
 
A

Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Hakuna hela yoyote ya maandalizi iliyotoka
 
Hahahaha nmethibitisha hakuna ila Simba ndo wamepasuka zaidi kuchangia ukarabati wa uwanja kununua fanicha
Wakati kwa mechi mbili anaingiza 2.5b, sasa hapo kapasuka vipi? Gate collection ya jana inanunua fanicha za viwanja vyote tz sio mkapa pekeyake
 
A

Simba alikunja bilioni 5 za maandalizi ya AFL ambapo timu zote 8 zilipata. Kisha italamba bilioni 2.5 kama itatolewa! Kwa nini utopolo walisile wivu?
Bilioni tano akupe nani wewe tako moja?.... hapo ulijazwa ujinga tu na hao wachambua tembele wenu.
Ingia kwenye website ya CAF ujionee sio kukata viuno kama Yondo sister.
 
Upuuzi huu kutoka chanzo kipi?
CAF wenyewe ama Bin kazumari?

Mbumbumbu bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akikupa nitag.
 
Mkuu, kumbuka hao jamaa unao jadiliana nao ni mbumbumbu (kwa mujibu wa Rage) hivyo ni kupoteza muda wako tu kujadiliana nao, hao tayari wamesha jazwa upepo na wachambua mchicha wao hivyo hawawezi kufikili nje ya box.
 
Mwamedi aache uSHENZI WA KUTETEA konde na Ayoub
Na bingwa wa hayo mashindano analamba ngapi?
Mshindi wa pili nae analamba ngapi?
Nakuonaga smart sana kumbe hata vitu vidogo vinakushinda reasoning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…