Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

Imekuwaje jamani wanaipigia debe hivi hii chanjo kana kwamba colona imeanza leo
 
Tanzania ni Taifa lenye watu wajinga zaidi Duniani. Ni Tanzania pekee ndipo unaweza kukuta mabango mitaani ya watu wakiuza dawa za Utajiri lkn ni mojawapo ya Mataifa Masikini sana Duniani.
 
unapokuwa unadanganya umma wa watanzania na Mungu akiwa upande wao ndio kutapatapa huku unakokuona wengine mpaka wamediriki kusema wana watoto na wajukuu wanaowapenda sana 😀
 
Chanjo ni swala nyeti haliemdi kisiasa Kama ubongo wako unavyokutuma
Labda kama unamaanisha swala nyeto,ila nyeti ndio maana wameanza viongozi.na wanalisemea pia.
 
Hiyo chanjo inayoendelea sasa ni msimamo wa ccm ili tuweke msimamo wa wapinzani?
Kwasababu huwa mnapinga kila jambo,tulitaka kusikia neno kutoka kwenu wapinzani.
 
Kwasababu huwa mnapinga kila jambo,tulitaka kusikia neno kutoka kwenu wapinzani.

Hatupingi kila jambo, bali sisi sio wafuata mipango ya wajinga kama nyie. Wakati dhalimu yuko hai kabla ya kwenda motoni, tulisema corona ipo, na chanjo ni muhimu. Lakini dhalimu akawashikia akili kwa kuwadanganya eti kaitisha maombi na ugonjwa umeisha, hivyo hakuna haja ya chanjo, kumbe alikuwa anauficha data. Leo kaja mama wa kambo kasema ugonjwa upo na chanjo ni muhimu, wote mmgeuka kama mazuzu mnasema ugonjwa upo, na watu wachanjwe! Katika mazingira hayo nyie wajinga kuendelea kuongoza nchi kwa shuruti, kwanini msione mnapingwa kwenye kila kitu?
 
bali sisi sio wafuata mipango ya wajinga kama nyie.
punguza sukari kwanza kunywa maji.
Wakati dhalimu yuko hai kabla ya kwenda motoni, tulisema corona ipo
corona haijawahi kuandikwa popote kama haipo,ishu ilikuwa kutamka tu ipo ama haipo.
, na chanjo ni muhimu.
Hakuna aliyewahi kusema chanjo si muhimu,tatizo unakurupuka mkuu.
Lakini dhalimu akawashikia akili kwa kuwadanganya eti kaitisha maombi na ugonjwa umeisha,
magufuli ni muumini wa Mungu,labda nyinyi chadema ni kundi la nyani,hamjui hata asili yenu.
hivyo hakuna haja ya chanjo, kumbe alikuwa anauficha data. Leo kaja mama wa kambo kasema ugonjwa upo na chanjo ni muhimu, wote mmgeuka kama mazuzu mnasema ugonjwa upo
narudia tena,kama shida ilikuwa bando enzi hizo unaweza tafuta clip za mgufuli akikiri wazi,corona ni mafua ya kawaida tuyazoee.nyie mapimbi ndio mlikuwa mnataka kuukuza mpaka tufungiwe ndani.
, na watu wachanjwe! Katika mazingira hayo nyie wajinga kuendelea kuongoza nchi kwa shuruti, kwanini msione mnapingwa kwenye kila kitu?
Nadhani la msingi kwenu kwa sasa ni kumpigania mwenyekiti.au vipi??
 
Hadi tunapoongea dhalimu yuko motoni, misikule yake baada ya kuondoka mmgeuka vituko kwa kuongea mambo ya ajabu. Halafu lile likibanda lake la ushirikina hapo Muhimbili, ww ndio ulitumwa ukaliondoe baada ya akili kuwarudia alipofariki yule dhalimu?
 
Hadi tunapoongea dhalimu yuko motoni,
hizi tunaita hallucination, unaota wewe maana tz nzima inajua kwamba nyinyi matapeli ni madalali wa utu wa mtz na maendeleo ya mama tz.
misikule yake baada ya kuondoka mmgeuka vituko kwa kuongea mambo ya ajabu.
sisi mataga tunasema "mama anaupiga mwingi"
Au tunasema uongo??
Halafu lile likibanda lake la ushirikina hapo Muhimbili, ww ndio ulitumwa ukaliondoe baada ya akili kuwarudia alipofariki yule dhalimu?
Alilitumia kumroga nani!!!ile ni tiba ya asili ambayo inakubalika kabisa na wana sayansi,laa misukule kama wewe ndio hamjui chochote.
 
Si jukumu lake hata.....

#KaziIendelee
#JMTMilele
#NchiKwanza
 

Ni kweli watanzania mliowajaza ujinga wanajua sisi ni matapeli. Ila tunaojitambua tunawadharau ile mbaya. Tazama walichokuwa wanaongea hao viongozi wakati wa Magufuli kuhusu covid, na utoto wanaoongea hivi sasa kwenye chanjo?

Kama kile kibanda ni baadhi ya vitu vinavyokubalika na wanasayansi, ni kipi kimefanya kiondolewe sasa baada ya dhalimu kuelekea ahera madukani?
 
Ni kweli watanzania mliowajaza ujinga wanajua sisi ni matapeli. Ila tunaojitambua tunawadharau ile mbaya.
dharau kwao haiwapunguzii chochote zaidi inakushughulisha mwenyewe.
Tazama walichokuwa wanaongea hao viongozi wakati wa Magufuli kuhusu covid, na utoto wanaoongea hivi sasa kwenye chanjo?
Kama ishu ni misimamo wa magufuli toka mwanzo,wapo ambao bado wameshikilia pale pale,gwajima,kabudi,pole pole,nk
Ndio maana nikauliza msimamo wenu kama ufipa ni upi!!!au mmebaki hewani??
Kama kile kibanda ni baadhi ya vitu vinavyokubalika na wanasayansi, ni kipi kimefanya kiondolewe sasa baada ya dhalimu kuelekea ahera madukani?
Tuliza akili wakati huu,si wakati mwingine wowote.
 
IGP huwa na mawenge sana na Yale mimacho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…