Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

Usalama wa taifa ndio Wana mamlaka ya kuthibitisha usalama wa chanjo kabla haijatumika Kwa wananchi
Mwenye mamlaka ya kutangaza ni Wizara ya afya. Usalama Wana taarifa zao za siri kama itakuwa hazifai wanajua pa kupeleka taarifa ndio maana huwezi kusikia wametoa press release.

That is the meaning of secret service, wanafanya kazi kwa siri na taarifa zao wanapeleka kwa Amiri jeshi mkuu kupitia mkurugenzi mkuu wa usalama ambaye hukaa kwenye vikao vya usalama vya taifa.

Mengine yapo kwenye level ya Wizara na ndipo hupewa maelekezo zaidi if needed.
 
Back
Top Bottom