Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Mm kuna nini mbona magamba yanaanza kurudi au ni mkakati wa Gamba kuu kuanza kuleta chokochoko tena hawa wakirudi wabaki waitikiaji wa kibwagizo cha CCM ni ileile na CCM ina wenyewe na wasipewe hata ujumbe wa nyumba 5 kama sio nyumba 10
 
Namtahadharisha m/kiti Kikwete! Watu wanaotaka kurudi usiwakubali kamwe, walikudhalilisha sana wakati wa kampeni na zaidi kuwakataa itakua fundisho kwa wengine chaguzi zijazo. Tunataka kusafisha nyumba yetu hatuwezi kurudisha uchafu ndani. Utawashangazi sana wakereketwa wa ccm ukiwakubali akina Mgeja na Mwapachu na wasaliti wote.
 
Kikwete keshawapokea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…