Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Asante sanaNi ujinga wa kitanzania kutafuta ujiko na umaarufu. Uwanjani kuna barabara na shule zipi zinaziduliwa hadi kuwe na mgeni rasmi..Ni ushamba kumleta mgeni rasmi uwanjani,ule ni mpira siyo graduation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa ccm wa mkoa atawezesha nini ?Acha kuwa brainwashed wewe sio kila kitu ufate wazungu..Nchi hii wanasiasa ndo wanaongoza kuipa uhai michezo tofauti na huko Ulaya..Lazima ufahamu bado tunajitafuta kwahiyo wanapoalikwa ni kama kurudisha shukran kwa mchango wao sawa?
Hapo mgeni rasmi amepewa shukrani ipi au kuitwa uwanjani? Nyie ndo walewale.Acha kuwa brainwashed wewe sio kila kitu ufate wazungu..Nchi hii wanasiasa ndo wanaongoza kuipa uhai michezo tofauti na huko Ulaya..Lazima ufahamu bado tunajitafuta kwahiyo wanapoalikwa ni kama kurudisha shukran kwa mchango wao sawa?
Huwezi kuelewa mambo yanavyoenda hata siku moja..kwasababu wewe ni mtoto mdogo..Nikwambie tu kuna ofisi za timu.Kuna wanakamati wa timu,Kuna wanachama wakubwa kwa wadogo kwa hizi Timu..Hawa viongozi hasa wa Siasa unakuta wanatoa dau kubwakubwa kwenye Vikao vya uanachama huko ndani ambavyo wewe na mimi hatujui kinachoendelea ILA kaa ujue wanamchango mkubwa sanaa Timu sio vilaza kualika viongozi ovyo sawa?Hapo mgeni rasmi amepewa shukrani ipi au kuitwa uwanjani? Nyie ndo walewale.
Hata Ulaya wageni rasmi wapo katika baadhi ya mechi.Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi yao hawa wanaoitwa Wageni rasmi ni ipi wana umuhimu gani kwenye soka. Kuna haja ya kuendelea na Wageni hawa. Mbona kwenye nchi za Ulaya mechi za soka hazina Wageni rasmi. Je, Wazungu ni Wajinga?
Umeboronga ulipoingiza mambo ya Kanisa na michango yake1.licha ya kuwa ulaya ndiyo waanzilishi wa mambo mengi lakini huwezi kuiga kila kitu.
2.huu ni utaratibu ambao tumejiwekea , kwa mfano tuna wasemaji wa vilabu na wahamasishaji, jambo ambalo ulaya ni Kocha anamaliza yote.
3.Najua unapenda kusikia watu wanaponda huu mtindo wa wageni rasmi kwenye mechi kulingana na mrengo wako wa kichadema.
NB; Mbowe kapokea mzigo toka kwa mama kwaajili ya ujenzi wa kanisa, vipi hili unalionaje Erythrocyte
Ulikuwa na miaka mingapi wakati wa picha hizi ?
Haya tutajie faida zake sasaYaani kitu mpaka afanye mzungu ndio kuwa confirmed kuwa ni kitu akfanya mbongo si kitu ni ushamba....COLONIALIZED MIND STILL IN OUR BRAINS.
Hili si suala la kisiasaUsijali mkuu. Siku CHADEMA mkichukua nchi mtasitisha huu utaratibu.