Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu ya wahanga wa hiyo sumu i juu ya waliotenda unyama huo na watoto waoNi wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia pesa kuficha ukweli na kuumiza wananchi na mazingira. Kwa ujumla wananchi wote wa TZ tunaumizwa maana tunakula samaki wa ziwa nchi nzima.
Au ndio maana wengi kule huugua figoHalafu wasichojua madhara ya kemikali kama hizo ni cumulative hasa linapokuja swala la kusababisha magonjwa ya saratani, huwezi shangaa kuna cases nyingi za magonjwa ya saratani kanda ya ziwa........huenda hao watu wanaoonyesha dalili sasa walianza kuathirika zaidi ya miaka 10 nyuma..
Exactly, kwenye nchi zao wapo very strict kwenye kujali afya za raia........huku hawakupi huo uthamani zaidi ya kujali kupata faida nono kwenye makampuni yao, kwa sera ya kujipimia ambayo hangaya aliipigia promo tutarajie wananchi zaidi kuathirika.Au ndio maana wengi kule huugua figo
CCM yote imeoza,hakuna aliesalamaKutokuwa makini kwao umekupimaje? Walishapewa kazi kama hii wakaboronga?
Kina nani ambao wako makini ulitamani wawepo kwenye kamati?
Ni mtanzania gani asiependa pesa?
Tatizo liko clear kamati ya nn kama si upigaji tu?Kutokuwa makini kwao umekupimaje? Walishapewa kazi kama hii wakaboronga?
Kina nani ambao wako makini ulitamani wawepo kwenye kamati?
Ni mtanzania gani asiependa pesa?
Sasa naanza kuelewa kwa nini kanda ya ziwa inaongoza kwenye ugonjwa wa saratani Tanzania.Anajipimia kwa urefu wa kamba mamilioni wakifa kwa saratani na magonjwa mengine yasiyoeleweka........Mwenyezi Mungu atakapoijilia nchi hii kuna watu watatafuta kujificha chini ya miamba.........yaani unachukua rushwa ili watu waangamie kwa kunywa maji yenye kemikali!?
Si watu walimtengua chacha wambura?Kule Nemc siku hizi kumedorora sana Anahangaika Mkurugenzi Mkuu tu nadhani hana watu Imara pale
Yale yale masuala ya minamata bay..hii nchi hii..viongozi ni laana.Halafu wasichojua madhara ya kemikali kama hizo ni cumulative hasa linapokuja swala la kusababisha magonjwa ya saratani, huwezi shangaa kuna cases nyingi za magonjwa ya saratani kanda ya ziwa........huenda hao watu wanaoonyesha dalili sasa walianza kuathirika zaidi ya miaka 10 nyuma..
Mimi najua mgodi haupaswi Kuwa karibu na vyanzo vya majiHili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM.
Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia pesa kuficha ukweli na kuumiza wananchi na mazingira. Kwa ujumla wananchi wote wa TZ tunaumizwa maana tunakula samaki wa ziwa nchi nzima.
Hii kamati ya sasa imeundwa na waziri Jaffo. Naiona ni kama uchafu tu! Uchafuzi wa kemikali ulihitaji watu makini zaidi. Siwaoni hapo! Naweza kusema hii imeundwa kutuliza vumbi. Waziri kisha ramba kiasi chake anachoweza na kazi iendelee.
Unaonaje matokeo ya Kamati inayosema ni vinyesi vya ng'ombe na maozea ya miti ndo yameleta vifo vya samaki?..serikali sio mbia ktk hiyo kampuni?
Dah! Una umri gani boss?Mabwawa ya maji ya sumu yamefanyeje!??
Mleta mada sijakuelewa, dadavua, je, umeshawahi kufanya kazi au kuishi huko North Mara?!
Mie kijeba, nina safari za kimachinga huko Nyamongo, Matongo, Kewanja n.k na kulikuwa na mradi WA waste management mkubwa wa gharama kubwa, tailings storage facility’s (TSF) pond.Dah! Una umri gani boss? Hilo suala linaeleweka duniani na mtetezi mkubwa wa wananchi walikuwa wananchi wa Canada.
Vipi?Kutokuwa makini kwao umekupimaje? Walishapewa kazi kama hii wakaboronga?
Kina nani ambao wako makini ulitamani wawepo kwenye kamati?
Ni mtanzania gani asiependa pesa?
Maneno matamu sana hayo, tena ya kitaalamu sawa na wachungaji wa ahadi ya mbingu.Mie kijeba, nina safari za kimachinga huko Nyamongo, Matongo, Kewanja n.k na kulikuwa na mradi WA waste management mkubwa wa gharama kubwa, tailings storage facility’s (TSF) pond.
Siamini zoezi lile linaweza kusababisha uvujaji wa maji ya sumu kuelekea Mara river!
Haijawahi kutokea eti kinyesi na mkojo wa ng'ombe kwenye maji yanayotembea unasababisha sumu ya kuua viumbe walioko majini?Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM.
Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia pesa kuficha ukweli na kuumiza wananchi na mazingira. Kwa ujumla wananchi wote wa TZ tunaumizwa maana tunakula samaki wa ziwa nchi nzima.
Hii kamati ya sasa imeundwa na waziri Jaffo. Naiona ni kama uchafu tu! Uchafuzi wa kemikali ulihitaji watu makini zaidi. Siwaoni hapo! Naweza kusema hii imeundwa kutuliza vumbi. Waziri kisha ramba kiasi chake anachoweza na kazi iendelee.