Mgodi wa Shantamine Chunya unakusanya dhahabu nyingi lakini hauna impact yoyote nchini

Haiwezekani mgodi wa kati ukatoa dhahabu nyingi kuliko mgodi mkubwa?
 
Kwakumalizia ni kwamba, ukubwa wa mgodi hupimwa kwa ukubwa wa skwea mita za eneo pamoja na miundo mbinu iliyopo.
Pia uzaishaji wa mgodi hupimwa kwa wingi wa rakili (ngapi) hupatikana katika kila kifusi madini cha tani moja.
 
Huu ujinga wa miccm,tubadili sheria basi.mchanga ukiwa mwingi ndo uwe kigezo cha mgodi mkubwa.tunapigwa Sana na hii miccm
 
Nje ya mada: Mkuu naweza kuja PM ukanipa ABC's za taratibu za kupeleka madini ya dhahabu nje ya nchi (Vyote kama mchimbaji au mnunuzi mkubwa ''agent")
Hasa dhahabu ya Chunya.
 
Huwezi kupima mgodi ukubwa kulingana na uzalishaji wake? Wanaweza weka mtaji mdogo lakini wakazalisha dhahabu nyingi kuliko migodi 'mikubwa' ya kanda ya ziwa.
Kabla mgodi kuanzishwa kunakuwa na study ya deposit ya madini na hiyo document inatakiwa kuambatishwa upon an application of licence..
Hiyo pamoja na mingine vitadetermine aina ya leseni
 
Sera zinaweza zisiwe mbaya, tatizo likawa kwenye utekelezaji wake.
Lakini kitu kingine kinacholeta shida ni namna ambayo "sisi wazalendo" tunavyoyaangalia na kuyapima MANUFAA ya migodi.

1. Kuna kodi na tozo ambazo wanalipa kwenye vyombo mbalimbali vya serikali.
2. Kuna ajira za moja kwa moja wanazotoa.
3. Kuna ajira zisizo za moja kwa moja wanazotoa.
4. Kuna michango yao ya kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali kama shule, hospitali, huduma za maji n.k (Corporate social responsibility)
5. Kuongeza mzunguko wa fedha katika enjoy husika pamoja na kukuza fursa za kibiashara.

Sasa sisi wananzengo tunataka kupima manufaa ya madini kwa idadi ya mabilionea waswahili (akina Laizer) kama ndio kipimo pekee cha rasilimali tajwa.
 
Miaka 10 unaclaim hasara KILA siku, si uongo huo.
 
Hata Chunya kuna wachina wamewekeza mgodi huko kuna Siku nilikuona Mkuu wa Wilaya na Chalamila wakiweka mambo sawa.

Pili nadhani unakumbuka sakata la utoroshaji madini mkoa wa mbeya badala ya kuuza kwenye soko la madini Chunya.

Huo mgodi kwa nini hautoi mapato kwenye Halmashauri za Chunya na Songwe kama ilivyo kwa Geita na Kahama
 
Mbona wengi mnawatetea hao wezi? Seems wanufaika wa hongo mko wengi Ili msiseme ukweli.

Serikali chunguza hii kampuni
 
Ule mgodi unasemekana ni wa kikwete unasimamiwa na ridhiwan

Kuna kipindi fulani ilikua kila jumamosi choppa inatua kuchukua mzigo na kusepa.
Kila kitu nchi hii ni cha Kikwete, gas Kikwete, mahotel mbugani ni Kikwete, mgodi wa Tanzanite one mirerani ni Kikwete, dhahabu ni Kikwete nk.. come on... give me a break! Acheni ujinga. Tufanye basi huo mgodi ni wa baba yako!
 
Shanta umeanza kazi nafikiri 2012 ni mpya sana, hiyo GGM au North Mara na Buly ni migodi ya zamani.

Kiukubwa sijui kama operation zimefikia capacity za hiyo migodi ya zamani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kila kitu nchi hii ni cha Kikwete, gas Kikwete, mahotel mbugani ni Kikwete, mgodi wa Tanzanite one mirerani ni Kikwete, dhahabu ni Kikwete nk.. come on... give me a break! Acheni ujinga. Tufanye basi huo mgodi ni wa baba yako!
OK
 
Ule mgodi unasemekana ni wa kikwete unasimamiwa na ridhiwan

Kuna kipindi fulani ilikua kila jumamosi choppa inatua kuchukua mzigo na kusepa.
Hawa kina Patel wana uhusiano gani?
 

Well said
 
Chalamila alikua RC wa mkoa Mbeya, inakuaje ukamwona "akiweka mambo sawa" kwenye mkoa mwingine (Mgodi upo mkoani Songwe).

Ukisema ulimwona kabla mkoa wa Mbeya haujagawanywa, swali langu litakuja kwako kwamba ulimwona akifanya hivyo angali ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa ?
(Chalamila kawa RC wa Mbeya baada ya kugawanywa).
Naomba ufafanuzi wa ulichokiona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…