Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nadhani wana utaratibu mzuri.Muundo wa Katoliki hauruhusu, yaani huku hatunaga mambo ya demokrasia sijui uchaguzi, kampeni Wala ujinga gani. Nooo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wana utaratibu mzuri.Muundo wa Katoliki hauruhusu, yaani huku hatunaga mambo ya demokrasia sijui uchaguzi, kampeni Wala ujinga gani. Nooo...
Ugomvi wote makanisani ni pesa, ifike mahali sasa makanisa yatoe huduma bure, na hao makasisi watafute kazi za halali za kuwaingizia vipato badala ya kugombania sadakaBaadhi ya dinari na pareshi zilivutiwa na sera zake hadi kupelekea wasiwasi kwa viongozi wa dayosisi na kanisa anglikana kwa ujumla.
Kamati ya uchaguzi iliondoa jina lake tena wakati uchaguzi ukiwa umeshafanyika kwa madai kuwa Kuta hana vigezo,jambo mojawapo lililosemwa ni kuwa bwana Kuta anajihusisha na masuala ya mapenzi ya jinsia moja.Ikumbukwe kuwa Kuta anatokea maeneo ya kanda ya Mlali ambapo ndipo hasa kwenye mgogoro mkubwa,baada ya kuondolewa kwake zaidi ya makanisa 80 yaliyopo kanda hiyo ya Mlali yaliamua kujitoa dayosisi ya Mpwapwa.
Yani mtu atoke kwenye NJIA ya kweli aende UPOTEVUNI!!Dawa ni kusilimu tu. Kwenye uislamu hakuna mambo hayo..
Ova