MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai
CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
Nasoma hii Makala ya Ngorongoro, Kinachotafutwa kule ni mali na si utunzaji wa mazingiraKwanini waliwahamishia kule Tanga??
Wamaasai dhidi ya Serikali. Unajua kuwa Serikali inachimba Mafuta eneo la WamasaiVita ya wenyewe dhidi ya Maasai na Nani?
Maana jamii zingine hazina ugomvi na kabila la wamasai
Wamaasai dhidi ya Serikali. Unajua kuwa Serikali inachimba Mafuta eneo la Wamasai
Toka mwaka Jana.Inachimba tokea lini?
Toka mwaka Jana.
Commercial drilling inatarajiwa kuanza kati ya 2027-2029
Hili Jambo wanaficha kwa sababu Ali Hassan Mwinyi na Familia yake wanahusika
nimeona mikataba na documentWewe umejuaje haya?
Waarabu wa Oman wanataka madini!Nasoma hii Makala ya Ngorongoro, Kinachotafutwa kule ni mali na si utunzaji wa mazingira
View attachment 3560012
Unaandika ujinga tu.Wamaasai hawana eneo....eneo ni la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndiyo maana limechukuliwa kwa kufuata utaratibu.
Kama wataanzisha vita kama unavyodai...watafutwa na kubaki historia tu
Huo ndiyo ukweli mchungu.