Mgogoro na Hatari ya mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703



Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai

CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
 
Moderator

Heading isomeke hivi

Mgogoro wa Ngorongoro na Hatari ya mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe​

 
Wamaasai hawana eneo....eneo ni la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndiyo maana limechukuliwa kwa kufuata utaratibu.
Kama wataanzisha vita kama unavyodai...watafutwa na kubaki historia tu
Huo ndiyo ukweli mchungu.
Unaandika ujinga tu.
 
Ccm wanataka kukirudisha alichokataa Nyerere kilombero na wairan huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…