Upo sahihi kabisa ila ni vizuri zaidi kutumia njia niliyosuggest. AsanteKutoa pesa kutoka Skrill kuja mkononi kwako unatumia njia gani. Bank Account?
Sasa Si bora kutumia MasterCard ya bank moja kwa moja kupunguza mzunguko.
InboxKinachosumbua mkuu ule usumbufu wakutoa pesa zako huku skrill maana tulizoea ukitaka kutoa kwa m pesa ni ndani ya muds mfupi ushapata hela
Nikamuuliza customer care wao mmoja kwamba kwa hiz spreads kweli inawezekana kufanya scalping?? Akanijibu ndiyo inawezekana maana na yeye ni scalper pia 🙄🙄Hapo mkuu ni wizi huwezi kutrade utachoma account ndani ya muda mfupi😂
Mpesa ipo, fanya transactions kwa njia ya agents
Wahudumu wengi wa mabroker wapo positive na mafanikio muda wote 😀 kwa spread hizo ukifanya scalaping si utakufa kwa presha bureNikamuuliza customer care wao mmoja kwamba kwa hiz spreads kweli inawezekana kufanya scalping?? Akanijibu ndiyo inawezekana maana na yeye ni scalper pia 🙄🙄
Tumia hata OctaFx au jitahidi kujua brokers ambao pro's tofauti tofauti wanawatumiaHawa broker wengine sijawajua mkuu nisaidie
Templer spread zake sio mbaya sana ingawaje kwa usiku huwa zinapanda sana
Tumia visa card,au tafuta line ya safari comSolution? Tufanyeje. Tuhamie broker gani
Ama tutumie njia gani kwa templer
YeapNadhani ni ipay Africa sio Mpesa
Michango yako naiappriate you one of resilient persion as a trader since there was so much negativity here in Jf umesustain na upo mpaka sasa ingawa nilibadili ID.That is all,fx pesa walinishawishi niwe agent wao kwa kuwatafutia wateja nilivyo wasoma huu mchezo nikala buyu,anyway soon kutakua ba mobile money from tigo pesa nafikiri itakua launched mwakani tungoje,napenda m pesa coz ni chap
Tumieni brokers waliosajiliwa, walio bora na wanaotambulika kimataifa. Acheni kubabaishwa na utoaji pesa kwa mpesa.Hawa broker wengine sijawajua mkuu nisaidie
Templer spread zake sio mbaya sana ingawaje kwa usiku huwa zinapanda sana
Wizi alafu too much,unajua wakenya wanatufanya mazuzu uyo fx pesa ni wa kenya nashindwa elewa sie tunakwama wapi kuwa na broker wakwetu labda tatizo mtaji sijui, spread kama zile sio rafiki kufanya sclaping.Michango yako naiappriate you one of resilient persion as a trader since there was so much negativity here in Jf umesustain na upo mpaka sasa ingawa nilibadili ID.
Tuje kwenye trading kusema ukweli kwa zile spread ni daylight robbery[emoji23]
Yes ipo inakua ishasajiliwa kenya kwa jina la mtu unatumia kuamisha pesa from voda to safaricom thn safaricom to broker.Lainiya safari com kibongobongoipo m kuu?