Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya BOT na M-Pesa utaisha lini ili Templer for Empler Forex atumie M-Pesa?

Sendwave
tapatalk_1576302954854.jpg
tapatalk_1576302952893.jpg
tapatalk_1576302950905.jpg
 
Wakuu mpaka leo mambo ni magumu templer na m pesa tanzania bado hakijaeleweka
 
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania

Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT

Tafadhali BOT malizeni mgogoro wenu kwani biashara za mtandao zipo nyingi tu kwann mnaleta vurugu kwa mabroker?
Vipi kuhusu tickmill?wanaweza deposit kwa mpesa?
 
Nilisikia wanao huo utaratibu lakini upo kwa kujificha ficha hawajaweka wazi sana
Pia kutrade nao ni risk maana wanahitaji mtaji mkubwa sana
 
USD 100, GBP 100 or EUR 100 ndio mtaji wao na ndio mtaji mzuri wa kuanzia biashara hii boss
 
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania

Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT

Tafadhali BOT malizeni mgogoro wenu kwani biashara za mtandao zipo nyingi tu kwann mnaleta vurugu kwa mabroker?
Mgogoro haujaisha tu?
 
Back
Top Bottom