Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya BOT na M-Pesa utaisha lini ili Templer for Empler Forex atumie M-Pesa?

Wakuu mpaka leo mambo ni magumu templer na m pesa tanzania bado hakijaeleweka
 
Vipi kuhusu tickmill?wanaweza deposit kwa mpesa?
 
Vipi kuhusu tickmill?wanaweza deposit kwa mpesa?
Nilisikia wanao huo utaratibu lakini upo kwa kujificha ficha hawajaweka wazi sana
Pia kutrade nao ni risk maana wanahitaji mtaji mkubwa sana
 
Nilisikia wanao huo utaratibu lakini upo kwa kujificha ficha hawajaweka wazi sana
Pia kutrade nao ni risk maana wanahitaji mtaji mkubwa sana
USD 100, GBP 100 or EUR 100 ndio mtaji wao na ndio mtaji mzuri wa kuanzia biashara hii boss
 
Mgogoro haujaisha tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…