Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Mbona huzungumzii Kenya, Nigeria,south Africa, Mozambique. Unazungumzia Ethiopia tu kwasababu kumetibuka. Na kama ni vita hata central Africa,mali, south Sudan ambako kuna centralization of power kila siku watu wanauwana.
 

Usisahau uvamizi wa Laanatullahi Nyerere kwa Zanzibar Na mauwaji mnayoyafanya kila ufikapo uchaguzi, ni wakati tu haujafika lakini hayo ya Ethiopia itakuja kuwa ni trailer Tu
Tuombe uhai
 
Bado hakuna justification yoyote uwepo wa mfumo wetu wa hawa DC'S na RC's kuwa watawala ndio mfumo bora sababu ya kuwa makada wa Chama Chakavu ! Matokeo yake ni kupeleka majambazi ofisini kama Saa Mbaya.

Uwepo wa hao watu kwa kutokua na kigezo kingine chochote zaidi ya ukada matokeo yake ni kuwa watu wakujipendekeza kutetea matumbo yao maana inategemea mkubwa wao kaamkaje !
 
Uko sahihi sana mkuu, Bashite alikuwa anafanya ufidhuli, raia wanateseka na kulalamika atolewe ila mtu aliyepaswa kumtoa hataki kumtoa kisa hataki kupangiwa na raia hawawezi kufanya chochote!

Kama ingekuwa serikali za majimbo kiongozi wa jimbo anayefanya uvamizi kwenye ofisi binafsi za watu asingevumiliwa, angeondolewa kwa impeachment na asingekuwa na mtu wa kumkingia kifua.
 
Usisahau uvamizi wa Laanatullahi Nyerere kwa Zanzibar Na mauwaji mnayoyafanya kila ufikapo uchaguzi, ni wakati tu haujafika lakini hayo ya Ethiopia itakuja kuwa ni trailer Tu
Tuombe uhai
Zanzibar si nchi ya waarabu.....

Usituingize waislamu katika ujinga wako !!!

Wapi waislam wamefundishwa woga wa kutopambana na unyonge unaosababishwa na waarabu ?!!!

Kaa na vituko na ujinga wako....kinachokuuma ni nini kwa Jamshid kufurushwa kwa mabwana zake Uingereza?!!!!

Nchi za kiarabu zilizofanya mapinduzi ni nyingi tu na kule WASALITI hukiona cha mtema kuni.....haramu ni Zanzibar tu?!!!?

Hiyo laana ya kikichaa unayompa baba yetu wa taifa mwenye heri Nyerere ikurudie juu ya utosi wako!!!!
 
Kwa nini kwetu sio kawaida?
Viongozi wa kwanza au miaka ya mwanzoni baada ya Uhuru wananafasi kubwa ya kushape siasa za nchi zao. Hapa kwetu Nyerere hakuacha legacy nzuri ya kupokezana madaraka. Mfumo wa ujamaa na chama kimoja ulimkaa na kuathiri mifumo mingi ya serikali.
 
Viongozi wa kwanza au miaka ya mwanzoni baada ya Uhuru wananafasi kubwa ya kushape siasa za nchi zao. Hapa kwetu Nyerere hakuacha legacy nzuri ya kupokezana madaraka. Mfumo wa ujamaa na chama kimoja ulimkaa na kuathiri mifumo mingi ya serikali.
Ukimuacha hayati Nyerere ni kiongozi gani aliyeacha hiyo legacy nzuri usemayo?!!??

Anzia Misri mpaka kusini mwa afrika....yupi huyo?!!!

Mandela inajulikana kwa historia yake kuzongwa na "untold stories" nyingi tu.......
 
Usisahau uvamizi wa Laanatullahi Nyerere kwa Zanzibar Na mauwaji mnayoyafanya kila ufikapo uchaguzi, ni wakati tu haujafika lakini hayo ya Ethiopia itakuja kuwa ni trailer Tu
Tuombe uhai
We nawe tutokee hapa, na matusi yako, hiyo lanatullahi ina sababu gani hapa
Nyie ndio kungekuwa na majimbo mngeleta shida sana
 
We nawe tutokee hapa, na matusi yako, hiyo lanatullahi ina sababu gani hapa
Nyie ndio kungekuwa na majimbo mngeleta shida sana
Hawakawii kujilipua hao.....

Wanaingiza ujinga wao katika imani isiyotaka upumbavu.....
 
Nigeria kuna majimbo, Kenya kuna majimbo,South Africa kuna majimbo,Canada kuna majimbo, Marekani kuna majimbo, lakini pote huko hakuna vita.
Acha kuiga ujuha wa ma CCM,yana laana hayo
 
Ukimuacha hayati Nyerere ni kiongozi gani aliyeacha hiyo legacy nzuri usemayo?!!??

Anzia Misri mpaka kusini mwa afrika....yupi huyo?!!!

Mandela inajulikana kwa historia yake kuzongwa na "untold stories" nyingi tu.......
Hayati Kenneth Kaunda wa Zambia
 
Waislamu wanaamini katika kiitwacho "mwenye heri"!?
 
How? Please elaborate!!
 
You must be a fool to believe that policy failed at the ballot box.
Kasome ripoti ya tume za Nyalali na Warioba.
The least favored administrative policy, ipo nyuma ya Zanzibar na Tanganyika kuwa na serikali moja.
Failed miserably, ni kwamba tu wewe hujui mambo ya siasa, ni mshabiki.
 
Umeandika vema mno.
 
Eti hutakiwi kulipa kodi. Hiyo umeiona wapi?
Kwa hiyo nikinunua bidhaa yeyote New York, silipi sales Tax?
Nikipita kwenye highways silipi road toll? Ukichukua hotel Vegas hukatwi taxes?
Unaposema taxes unamaanisha nini labda.

Sasa tuje Tanzania.
Bakhresa na Mzee Mpili nani ni mwenyeji wa mkoa wa Pwani?
Nani analipa kodi nyingi mkoa wa Pwani? Nani amechangia zaidi kuujenga mkoa wa Pwani?
Sasa kwanini Bakhresa asiwe na haki sawa kwenye kupiga kura mkoa wa Pwani?

Acha kuwa primitive, watu wenye akili wanataka serikali chache duniani, ila watu kama nyinyi mliojaa uharo kichwani bado mna struggle kuwa na serikali milioni.
Pumbav! kabisa.
 
Mfumo huo umeshindwa kabisa tukianza na jiji la Nairobi Gavana wake aliondolewa na jiji hilo limeundiwa baraza chini ya Meja General.
Mbona hata Kabla ya County government wizi ulikua mkubwa sana rejea Anglo leasing au Goldberg scandal!!

Hakuna connection ya County government na ufisadi embu kaangalie county kama Machakos na makueni zimeendelea baada ya County Govts. In fact governors wake wamepewa Tuzo kwa hizo milestones.

Kuhusu Nairobi pale ni siasa tu, Nairobi ni upinzani miaka yote sasa chama tawala kushinda ilikua lazima kuibuke siasa kali sana. Awamu iliyopita Governor Kidero from ODM ana skendo za ufisadi ila hakuwahi kusimamishwa maana pasingekalika kisiasa!!

So politics ndio zimeirudisha Nairobi nyuma na sio ufisadi no wonder kuna magovernor mafisadi kma Waiguru ila bado wapo madarakani!!
 
Kwanza nijibu lile swali langu ulilokimbia

Lete ushahidi muingereza alimsaidia Mfalme Jemshid kueneza uislamu mnaouiita uarabu ??

By the way huyo Muingereza ni Bwana wa huyo Laanatullahi Nyerere yeye ndiye aliyemweka madarakani kwa kutoa ngawira ya almasi ya Mwadui na kuivamia Zanzibar
 
Tanzania chini CCM tupo salama sana. Mwalimu alisema 1995 "We can not let the country goes to the dogs "
Sasa ilikuaje u-Rais akapewa kikwete ambaye awamu yake tulishuhudia ufisadi wa kihistoria??? Au kwa kuwa ni CCM basi anakua sio dog!!.... Ooh vp kuhusu Mkapa ambako mikataba yote ya madini ya kinyonyezi ilisainiwa? Au hakua dog??
Hakuna uwajibikaji wowote toka Kenya ipate katiba imekuwa vurugu za kisiasa Rais na Makamu toka uchaguzi uishe 2017 wapo kwenye malumbano
Vurugu zipi? Wewe unakumbuka enzi za Odinga 2003-2008 Kenya ilikalika? Ilikua kila siku maandamano na migomo. Tokea handshake ya Odinga na Kenyatta hyo 2017 umewahi sikia migomo au maandamano ya kisiasa?? Mwenye Vurugu ni Rutto tu ila kuanzia Mombasa mpaka Nairobi hadi Kisumu pametulia tuli hta ugaidi hausikii tena!!!
Ufisadi kupitia serikali ya majimbo umeongezeka sana chuki na siasa za kikabila zimezidi mno
Ufisadi umeongezeka unatumia takwimu zipi?? Unaweza linganisha na ufisadi miaka ya KANU? You can't be serious.

Tafiti zinaonyesha chuki za kikabila zimepungua sana tokea county zianze maana kila kabila lina breathing space ya uongozi. Tofauti na zamani ambapo mkikosa Urais basi ujue pesa zote zitaishia Kwa wakikuyu!!
Hakuna uwajibikaji wowote
Kuna magovernor wameburuzwa kortini kwa ufisadi na wengine kupigiwa kura ya kutokua na imani nao. Kuna teuzi za mawaziri wamepigwa stop na bunge kisa ufanisi. Same to Mahakama imekua strong kublock maamuzi ya serikali yasiyo kuwa na maslahi ya watu. Hivi Tz kuna bajeti iliwahi pingwa? Kuna waziri amevuliwa bungeni kisa ufanisi mdogo? Kuna tozo iliwahi pingwa na wabunge hadi wakambana waziro aifute au mara zote husubiria maamuzi ya Samia tu na JPM!!

Fuatilia siasa za Kenya ndio utaelewa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…