Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Unakosa umakini wa kutembea na mtiririko wa mfano niliokupa........ulisema Tanganyika imekuja kueneza ukatoliki huko Zanzibar....nikakujibu kuwa Zanzibar iliyokuwa ya Jamshid juu yake kulikuwa na mwingereza na mwingereza bwana wa Jamshid ni muanglikana...je muanglikana alikubali Jamshid asaidie ukatoliki uenee huko?!!!
Hoja yangu ndiyo hiyo......nikaendelea kukukumbusha kuwa Jamshid alikuwa mfuasi wa Ibadhi....na kwa kuwa wazanzibari wengi ni wafuasi wa sunni basi hoja ya yeye kueneza uislamu wa ibadhi inakufa na kubaki kuwa kizazi chake kilikuja afrika kutafuta maslahi ya utawala wao......
Waafrika wenyewe tukainuka na kushirikiana kumfurusha kwa mabwana zake ,ubaya uko wapi hapo ?!!!!

Ulitaka waafrika wawe wanyonge wakatae mapambano dhidi ya waarabu ?!!! Kwanini ?!!!!

SIEMPRE JMT
Huna ushahidi wowote wala hujaleta ule ushahidi wa wasomi wako kumpinga Padri Peter Smith
 
Ndio kitabu hicho ,muingereza alimsaidia Jemshid kueneza uislamu?

Mapinduzi daima kwa Mtanganyika pia ? Kubambikizia kesi Za kigaidi Kwa wapinzani?akina Mbowe
Unaingiza dini ili ulete taharuki...nimeshakujibu katika comment nyingine angalia hapo chini......

Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja.....nguvu ya KUYALINDA MAPINDUZI matukufu hutoka pande zote na ndio maana kufikia leo HAYAJANAJISIWA......
 
Tanzania wakileta mfumo huo tu walafi wataingiza nchi kwenye machafuko! Serikali haiwezi kuwa strong kudhibiti maeneo yote hivyo kuna mahali patalega lega na ndipo mwanzo wa machafuko! Kuna watu kwa uroho wa 10% wataingiza mamluki.

Arusha watahodhi madini na mbuga za wanyama! Ina maana kiongozi wa huko ndio raisi wa kaskazini na majimbo yake!

Kutatokea mpasuko mbaya sana wa watu kubaguana kikanda na ndio vita itaanzia hapo! Walafi wachache watakomalia ulaji na madaraka na kutaka kuwekana kindugu.

Machafuko hayatokei tu sababu serikali kuu inayosimamia nchi yote as a whole iko macho!
 
Mleta mada upo sahihi. Miaka hii wala huna haja ya kuumixa kichwa. Unaingia hata google hapo ujielimishe hasara na faida ya kitu chochote.
 
Unaingiza dini ili ulete taharuki...nimeshakujibu katika comment nyingine angalia hapo chini......

Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja.....nguvu ya KUYALINDA MAPINDUZI matukufu hutoka pande zote na ndio maana kufikia leo HAYAJANAJISIWA......

Nimeingiza dini ndio kitabu chengine hicho, Muingereza kamsaidia Jemshid kueneza uislamu?
Mnalinda Mapinduzi kwa kuwabambikizia kes za kigaidi akina Mbowe Na kuwapiga risasi Lissu au nao ni waarabu wa Oman ?
 
Mbona umekazania udini Na wewe ndiye ulisema Muingereza kamsaidia Mfalme Jemshid kueneza uislamu?
Mapinduzi daima ndiyo haya ya kuiba kura, kuwapiga risasi Lissu n kubambikizia kesi Za kigaidi akina Mbowe?
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni mshabiki wa siasa.
Unashinda tu humu ndani kupiga kelele, jisomee unapopata nafasi. It's fun.
Shida ni kuwa wewe umerukia comment ambayo niliielekeza kwa mtu mwingine. Anasema sera imeshindwa kwenye ballot box!? Ballot box yenyewe ndio hizi ambazo askari wanasomba mabox ya kura kama wao maafisa uchaguzi!? Chaguzi zetu haziwezi kuhalalisha ubovu au uzuriwa sera. Kama wewe unaamini hivyo wewe bila shaka ni mpumbavu tu.
 
Mbona umekazania udini Na wewe ndiye ulisema Muingereza kamsaidia Mfalme Jemshid kueneza uislamu?
Mapinduzi daima ndiyo haya ya kuiba kura, kuwapiga risasi Lissu n kubambikizia kesi Za kigaidi akina Mbowe?
Unanibandika maneno mdomoni mwangu......siwezi kuwa pwagu kujificha katika "ulevi wa udini" ilihali hauendi sawia na uhalisia....nilianza kukuuliza maswali baada ya wewe kutuingizia hoja zako za udini dhidi ya MAPINDUZI kwa wewe kusema kuwa Nyerere alikuja kueneza ukatoliki na ukamalizia na ulevi wako wa udini kwa kumlaani.....unadhani hilo ni Sawa kwa mtu mweledi wa mambo ?!!!!
 
Nimeingiza dini ndio kitabu chengine hicho, Muingereza kamsaidia Jemshid kueneza uislamu?
Mnalinda Mapinduzi kwa kuwabambikizia kes za kigaidi akina Mbowe Na kuwapiga risasi Lissu au nao ni waarabu wa Oman ?
Ninekufafanulia nilichomaanisha bado tu unaendeleza "obsessive compulsion".......

MAPINDUZI ni lazima yalindwe dhidi ya yeyote.....

Utulivu na amani iliyopo ilitokana na gharama kubwa nyuma yake....kwanini tuzirudie gharama hizo kwa SIASA KINZANI TU?!!!

Maslahi ya nchi ni makubwa zaidi ya malengo na matakwa ya vyama vya siasa.......

SIEMPRE JMT
 
Kiongozi wa jimbo hawezi kuwa Rais wa jimbo kwa sababu hana majeshi yanayomtii.
Sehemu zote zenye serikali ya majimbo mkuu wa majeshi ni Rais wa Shirikisho.

Magavana wa majimbo Marekani sio Marais wa majimbo, hawana majeshi wanayoyasimamia, hawana mabalozi nje ya nchi na wote wanasikiliza mahakama kuu moja ya shirikisho kwenye maamuzi ya haki.
Tanzania wakileta mfumo huo tu walafi wataingiza nchi kwenye machafuko! Serikali haiwezi kuwa strong kudhibiti maeneo yote hivyo kuna mahali patalega lega na ndipo mwanzo wa machafuko! Kuna watu kwa uroho wa 10% wataingiza mamluki.

Arusha watahodhi madini na mbuga za wanyama! Ina maana kiongozi wa huko ndio raisi wa kaskazini na majimbo yake!

Kutatokea mpasuko mbaya sana wa watu kubaguana kikanda na ndio vita itaanzia hapo! Walafi wachache watakomalia ulaji na madaraka na kutaka kuwekana kindugu.

Machafuko hayatokei tu sababu serikali kuu inayosimamia nchi yote as a whole iko macho!
 
Kiongozi wa jimbo hawezi kuwa Rais wa jimbo kwa sababu hana majeshi yanayomtii.
Sehemu zote zenye serikali ya majimbo mkuu wa majeshi ni Rais wa Shirikisho.

Magavana wa majimbo Marekani sio Marais wa majimbo, hawana majeshi wanayoyasimamia, hawana mabalozi nje ya nchi na wote wanasikiliza mahakama kuu moja ya shirikisho kwenye maamuzi ya haki.
Sasa unadhani system ya majimbo kwetu italeta tija gani?
 
Mifumo ya majimbo kwa afrika nzima ni tatizo.

Maana mwafrika akishika uongozi anajiona yeye ndio bora kuliko wengine.

Ubinafsi

Kama hivyo akiona kwenye eneo lake kuna mali ujue chochote anafanya.

Wakati mwingine anatamani abaki yeye nafamalia yake tu, kwahiyo hata wengine wakifa hawezi kujali.

Mifumo ya majimbo inafaa kwa walioelimika na waliokomaa kisiasa.
Duuh unamaanisha waTanzania bado hatujaelimika?
 
Faida chache ni hizi;

Mgogoro wa kiwanja mtaani kwenu hautasubiri maamuzi ya Lukuvi kutatuliwa. Utawala uliopita hadi jiwe alikuwa ana deal na migogoro ya viwanja huko vijijini. Imagine mtu kutoka ofisi namba moja anashugulikia kesi za mashamba vijijini!

Jimbo likipata bahati mbaya ya kuwa na viongozi kama Bashite anayevamia ofisi binafsi za watu au Sabaya ni rahisi kumuondoa na kumwajibisha.

Hizi sarakasi za wamachinga zinazoendelea kama kungekuwa kuna serikali za majimbo lazima kuna jimbo mojawapo ambalo lingepatia vizuri na lingekuwa mfano kwa majimbo yote kushugulika na wamachinga.

Kama kungekuwa na majimbo suala la Korosho lisingeingiliwa na jeshi wala usingekuwepo uvamizi uliofanyika bureau de changes.

Ukiwa na serikali ya majimbo hutamsubiria waziri kutoka Dodoma akuambie kwa nini barabara za lami hakuna, maji na umeme ni shida. Utambana gavana wako hapo jimboni kwa sababu yeye ndiye atakuwa na bajeti na msimamizi wa hiyo bajeti. Akishindwa kutatua utamuondoa mapema kwa "recall" au uchaguzi unaofuata na hatakuwa na pa kwenda akipoteza ajira jimboni kwake.

Ziko faida lukuki za majimbo, hizi ni chache sana.
Sasa unadhani system ya majimbo kwetu italeta tija gani?
 
Majimbo yatakayokuwa mazembe na conservatives yataachwa mbali sana na mengine na yanaweza kusababisha mizozo isiyo na mantiki, kama tu Ilivyo Marekani unavyoona pengo kati ya Blue states kama California na Red states kama Kentucky.
Sawa sawa vipi kuhusu hasara?
 
Faida chache ni hizi;

Mgogoro wa kiwanja mtaani kwenu hautasubiri maamuzi ya Lukuvi kutatuliwa. Utawala uliopita hadi jiwe alikuwa ana deal na migogoro ya viwanja huko vijijini. Imagine mtu kutoka ofisi namba moja anashugulikia kesi za mashamba vijijini!

Jimbo likipata bahati mbaya ya kuwa na viongozi kama Bashite anayevamia ofisi binafsi za watu au Sabaya ni rahisi kumuondoa na kumwajibisha.

Hizi sarakasi za wamachinga zinazoendelea kama kungekuwa kuna serikali za majimbo lazima kuna jimbo mojawapo ambalo lingepatia vizuri na lingekuwa mfano kwa majimbo yote kushugulika na wamachinga.

Kama kungekuwa na majimbo suala la Korosho lisingeingiliwa na jeshi wala usingekuwepo uvamizi uliofanyika bureau de changes.

Ukiwa na serikali ya majimbo hutamsubiria waziri kutoka Dodoma akuambie kwa nini barabara za lami hakuna, maji na umeme ni shida. Utambana gavana wako hapo jimboni kwa sababu yeye ndiye atakuwa na bajeti na msimamizi wa hiyo bajeti. Akishindwa kutatua utamuondoa mapema kwa "recall" au uchaguzi unaofuata na hatakuwa na pa kwenda akipoteza ajira jimboni kwake.

Ziko faida lukuki za majimbo, hizi ni chache sana.
Je unafikiri kwa katiba iliopo hii kuintroduce majimbo itakuwa sahihi?
 
Ninekufafanulia nilichomaanisha bado tu unaendeleza "obsessive compulsion".......

MAPINDUZI ni lazima yalindwe dhidi ya yeyote.....

Utulivu na amani iliyopo ilitokana na gharama kubwa nyuma yake....kwanini tuzirudie gharama hizo kwa SIASA KINZANI TU?!!!

Maslahi ya nchi ni makubwa zaidi ya malengo na matakwa ya vyama vya siasa.......

SIEMPRE JMT

Usikimbie kuleta ushahidi wa Muingereza kamsaidia Mfalme Jemshid kueneza uislamu.
Na Pia wasomi waliomkosoa Padri Peter Smith

Kwa hivyo ili kulinda Mapinduzi ndio mnaiba kura, mnawaweka viongozi wasiotakiwa Na watu, mnauwa watu, mnawaweka wapinzani vizuizini, mnawapiga risasi akina Lissu, mnawabambikizia kesi za kigaidi akina Mbowe au vipi?
 
Haiwezekani kuintroduce majimbo kwa katiba iliyopo kwa sababu hii katiba inatambua mfumo wa wakuu wa mikoa wanaoteuliwa na Rais na inasema wazi watumishi wote wa serikali watatekeleza majukumu yao kwa niaba ya Rais!

Back
Top Bottom