Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio kila neno la kingereza linatafsiriwa literal hivyo. Hapa kwetu ukisema serikali ya Tanzania wengi wanamaanisha Executive, Bunge na Mahakama. Hapa kwetu tuna Hakimu na jaji lakini US wao ni judge tu kwa ngazi yoyote ya mahakama.
Hapa kwetu Police ni "Force" lakini Marekani Police ni "departments" tu za majimbo ila zina silaha na vitendea kazi vya juu kuliko majeshi katika nchi nyingi za Africa. Hiyo force ni lugha tu.
Hapa kwetu Police ni "Force" lakini Marekani Police ni "departments" tu za majimbo ila zina silaha na vitendea kazi vya juu kuliko majeshi katika nchi nyingi za Africa. Hiyo force ni lugha tu.
Labda hujui kiingereza nikusaidie,
Mgambo kwa kingereza huitwa militia na sio forces,
Forces kwa kiswahili ni majeshi
Na hayo majeshi ya ndani ya majimbo ya America ya naitwa, 'state defence forces', yani in swahili tunatafsiri, 'majeshi ya ulinzi ya majimbo'
Mzee baba ni majeshi ya ulinzi na sio Mgambo wa ulinzi, wangeita 'state defence militia' kama ingekuwa ni mgambo tu
Hebu ongeza ilmu hapo kati