Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Sio kila neno la kingereza linatafsiriwa literal hivyo. Hapa kwetu ukisema serikali ya Tanzania wengi wanamaanisha Executive, Bunge na Mahakama. Hapa kwetu tuna Hakimu na jaji lakini US wao ni judge tu kwa ngazi yoyote ya mahakama.

Hapa kwetu Police ni "Force" lakini Marekani Police ni "departments" tu za majimbo ila zina silaha na vitendea kazi vya juu kuliko majeshi katika nchi nyingi za Africa. Hiyo force ni lugha tu.
Labda hujui kiingereza nikusaidie,
Mgambo kwa kingereza huitwa militia na sio forces,
Forces kwa kiswahili ni majeshi
Na hayo majeshi ya ndani ya majimbo ya America ya naitwa, 'state defence forces', yani in swahili tunatafsiri, 'majeshi ya ulinzi ya majimbo'

Mzee baba ni majeshi ya ulinzi na sio Mgambo wa ulinzi, wangeita 'state defence militia' kama ingekuwa ni mgambo tu
Hebu ongeza ilmu hapo kati
 
Sio kila neno la kingereza linatafsiriwa literal hivyo. Hapa kwetu ukisema serikali ya Tanzania wengi wanamaanisha Executive, Bunge na Mahakama. Hapa kwetu tuna Hakimu na jaji lakini US wao ni judge tu kwa ngazi yoyote ya mahakama.

Hapa kwetu Police ni "Force" lakini Marekani Police ni "departments" tu za majimbo ila zina silaha na vitendea kazi vya juu kuliko majeshi katika nchi nyingi za Africa. Hiyo force ni lugha tu.
Ndugu yangu, kuna hizo police department za majiji kama lapd ama nypd, ila pia kuna majeshi ya majimbo

Yani California, wana jeshi lao kama wao la kupigana vita mzee ukivamia California hapo
Achana na lapd ambao ni askari polisi usimix
Polisi ni departments ndio kwa huko
Ila majimbo yana majeshi kabisa ya kurusha mabomu na kupambana na maadui
 
Hakuna majeshi ya majimbo yenye wanajeshi walio katika "active duty" kila siku kama unayoyasema wewe, hakuna jimbo la Marekani lenye wanajeshi wa jimbo wanaolipwa mshahara. Historoa na Katiba ya yao inaruhusu kuwepo na majeshi active ya majimbo lakini hayawezi kupigana vita isipokuwa katika hali fulani zilizobainishwa na katiba.

Wakati Marekani inapagana vita vya uhuru dhidi ya mkoloni wao Uingereza jeshi la kitaifa lilitokana na majeshi "militia" wa majimbo hivyo baada ya kupata uhuru na kuunda jeshi la nchi waliona sio busara kufutilia mbali kabisa "militia" wa majimbo, badala walitunga sheria za kudhibiti na kuwabakisha kama migambo tu.
Ndugu yangu, kuna hizo police department za majiji kama lapd ama nypd, ila pia kuna majeshi ya majimbo

Yani California, wana jeshi lao kama wao la kupigana vita mzee ukivamia California hapo
Achana na lapd ambao ni askari polisi usimix
Polisi ni departments ndio kwa huko
Ila majimbo yana majeshi kabisa ya kurusha mabomu na kupambana na maadui
 
Fahamu pia kwamba katika suala la majeshi na "militia" katiba ya Marekani imeweka madaraka makubwa kwa Congress/bunge la shirikisho kutoa muongozo na udhibiti kwa serikali ya shirikisho na za majimbo. Hata Rais wa Marekani hawezi kwenda vitani bila idhini ya bunge, bunge la nchi pia linaweza kutunga sheria ambazo majimbo yanalazimika kuzifuata katika suala la majeshi.
Sababu kubwa ya kuwekwa kwa katiba ya aina hii US ni ma-settlers wa America kuchukizwa na jinsi utawala wao wa kifalme wa Uingereza ulivyokuwa unawatoza kodi huko Marekani katika majimbo yao na kuwapeleka watu kupigana vita hovyo bila kuwa na uwakilishi au ridhaa katika bunge la Uingereza
Ndugu yangu, kuna hizo police department za majiji kama lapd ama nypd, ila pia kuna majeshi ya majimbo

Yani California, wana jeshi lao kama wao la kupigana vita mzee ukivamia California hapo
Achana na lapd ambao ni askari polisi usimix
Polisi ni departments ndio kwa huko
Ila majimbo yana majeshi kabisa ya kurusha mabomu na kupambana na maadui
 
Bro hebu Google zaidi juu ya armed forces za ndani ya majimbo ya America
Marekani wana federal army halafu majimbo pia yana forces zake mzee.
Ndio maana enzi za ubaguzi, kulikuwa na utata ambapo jimbo la Arkansas na gavana wake na jeshi lake la ndani walizuia black students kusoma katika shule ya little Rock high school,
Ikabidi rais wa enzi hizo atume federal army kupambana na gavana na wafuasi wake na hiyo armed forces yake, ilibidi a tumie federal army kulazimisha serikali na viongozi wa jimbo na askari wao wa ndani waruhusu watoto weusi waingie shule.

Kwa hivyo mifano ipo ya majimbo kufika huko kwenye kutumia army kupingana na serikali ya kitaifa
Na si hivyo tu mifano iko mingi huko marekani ya majimbo kugombana, kama vile, mgogoro wa maji ya mto Colorado, mto una pita katika majimbo makame na ni chanzo cha maji cha majiji kama Los Angeles , kuna utata mkubwa wa matumizi ya rasilimali hiyo, kila jimbo linaona linaonewa na California inayotumia maji kupita majimbo mezake

Pia kumbuka Civil War huko USA umajimbo ulinogesha ile vita vilivyo

..Tz kabla hatujaunda mikoa, tulikuwa na majimbo, lakini hayakuwa na polisi au majeshi yake yenyewe.

..kwa hiyo tunaweza kabisa kuunda majimbo lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikawa chini ya serikali kuu ili kuepusha migongano unayoizungumzia.

..wanaopendekeza mfumo wa majimbo hapa Tz wamelenga zaidi ktk masuala ya huduma za kijamii, na sio masuala ya ulinzi, usalama, na mambo ya nje.
 
Uko sahihi. Marekani jeshi lao la kwanza la kitaifa liliundwa kutoka katika vikosi ya majimbo hivyo militia wameendelea kuwepo, sisi hapa hatuna militia wa mikoa hivyo hata tukiamua leo mikoa iwe majimbo haitakuwa na militia bali tutabaki na jeshi moja tu.

Mbona tuna vyeti vya kutosha vya darasani ni elimu ipi unayoitaja wewe? Au ya kuruka na ungo?
hahahahahahahahhagaha...........

watanzania wanapata vyeti hasa kwa wale wanaojua kuigiza kusoma,kuchora na kuongea vile vilivyo andikwa na wazungu tu.
lakini vichwani kuna shida kubwa mkuu.
 
TANGANYIKA ilikuwa na kiti kabla ya Muungano.....leo ni kimoja tu kwa ajili ya URT........

Mbona Scotland ,Wales na Ireland hawana viti huko UN?!!!
Naona unajaribu kuleta mkorogo tu. Je, Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja !? Kama unavyodai!
 
Nyie mnaodai mfumo wa majimbo utaleta shida, je, muundo wa muungano wetu sio mfano mmojawapo wa majimbo!? Mathalani Zanzibar ina Rais wake ambaye katika mfumo wa jimbo huyo ni gavana na ina baraza lake la wawakilishi ambao tungeweza kusema ni madiwani . Wanajipangia mipango yao ya maendeleo kivyao bila kuingiliwa na bara. Ila hawana jeshi, yaani jeshi ni la serikali kuu.

Na viongozi wa kule Zanzibar wanapigiania maendleo ya jimbo lao kwa kuwa ndio kwao huko. Yaani wana uchungu napo. Tofauti na kiongozi angetoka mfano huku Bara.

Huu ni mfano tosha wa serikali ya jimbo ndani ya Tanzania. Na hakuna rabsha yoyote. Ambaye haelewi hiki nilichoandika hatakaa aelewe tena.
 
mfumo huu wa mokoa imesababisha baadhi ya mikoa kusahaurika kabisa katk miradi ya maendeleo nakupelekea maendeleo kupelekwa sehemu moja tu
 
Nyie mnaodai mfumo wa majimbo utaleta shida, je, muundo wa muungano wetu sio mfano mmojawapo wa majimbo!? Mathalani Zanzibar ina Rais wake ambaye katika mfumo wa jimbo huyo ni gavana na ina baraza lake la wawakilishi ambao tungeweza kusema ni madiwani . Wanajipangia mipango yao ya maendeleo kivyao bila kuingiliwa na bara. Ila hawana jeshi, yaani jeshi ni la serikali kuu.

Na viongozi wa kule Zanzibar wanapigiania maendleo ya jimbo lao kwa kuwa ndio kwao huko. Yaani wana uchungu napo. Tofauti na kiongozi angetoka mfano huku Bara.
..Tz kabla hatujaunda mikoa, tulikuwa na majimbo, lakini hayakuwa na polisi au majeshi yake yenyewe.

..kwa hiyo tunaweza kabisa kuunda majimbo lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikawa chini ya serikali kuu ili kuepusha migongano unayoizungumzia.

..wanaopendekeza mfumo wa majimbo hapa Tz wamelenga zaidi ktk masuala ya huduma za kijamii, na sio masuala ya ulinzi, usalama, na mambo ya nje.
Uko sahihi. Marekani jeshi lao la kwanza la kitaifa liliundwa kutoka katika vikosi ya majimbo hivyo militia wameendelea kuwepo, sisi hapa hatuna militia wa mikoa hivyo hata tukiamua leo mikoa iwe majimbo haitakuwa na militia bali tutabaki na jeshi moja tu.
Hawa jamaa wanadhani majimbo yakiwepo ni lazima yawe na majeshi yenye silaha nzito kumbe si kweli, ulinzi na usalama, mambo ya nje yatabaki kwenye udhibiti wa serikali kuu.
 
Eti amani? Kiongozi mkubwa wa upinzani anapigwa risasi mchana kweupe hata uchunguzi wa polisi hakuna na hakuna anayehoji ukihoji unapotea, watu wanatekwa wanapotea na kukutwa wamekufa wanaelea baharini na hakuna taarifa na ukihoji unaungana na maiti, unapigwa jela miaka bila kufunguliwa kesi, uchaguzi unaibiwa nchi nzima bila aibu,endelea kuamini upumbavu wa mikoa...hayajakukuta bado
 
Bora hayo majimbo maana serikali kuu dhalimu ya CCM isingewachezea watu kama inavyowafanyia sasa hivi
 
Ngoja muungano uvunjike utaona Tanganyika itaanza kuvurugika kama Ethiopia. Hata Lukuvi aliwahi kusema

Mleta mada hujui kwa usahihi unachosema na sitakosea kukuita muongo!! Ingefaa ukaa unachokisema:

a) jambo moja zuri au baya haliwezi kutumika
Kwa ujumla. Umeeleza ubaya wa serikali za majimbo kwa Ethiopia. Ungeenda mbali zaidi na kutuambia ubaya wa jambo hilo kwa nchi kama South Afrika, Marekani, Canada, UK na hata Kenya. Kwa hutujua jambo hili vizuri utabisha kuwa hata Kenya haina mfumo huu, ungependa niseme kaunti badala ja jimbo.
b) si kweli TPLF ni jeshi la jimbo. Ni kikundi cha waasi kikichoanzishwa na watu wa jimbo la Tigray. Sawa na Banyamulenge mashariki mwa DRC. Jeshi la nchi ya Ethiopia lipo na limeshindwa vita eneo la Tigray na kuwafanya waasi washikilie eno.

Ambacho unataka kusema lakini kwa kuficha ni ukandamizaji wa kidemokrasia unaoendelea hapa Tanzania kwa kijisababu cha umoja. Sisi tuna halmashauri zinazoongozwa na chama kilichoshinda viti vingi vya udiwani. Na kiongozi kati halmashauri ni meya. Tungetaka kujilinganisha na wengine, huyu ndio angekuwa juu ya wateule wa Rais kama Mkuu wa wilaya, RAS na mkurugenzi. Wenzetu wamefanya sisi tunachofanya katika ngazi ya halmashauri kuwa na eneo kubwa zaidi kuwa machache!! Na wakawa na mabunge sisi tunaita kikaa cha madiwani!

Unachokisifia kama utaratibu mzuri actually ni kupoka madaraka ya serikali za mitaa. Ushihidi ni mlichokisema sana 2016-2020 - “mnatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM”. Yaani chama kingine kitoe sera zake kwa eneo husika, washinde idadi kubwa, wapate meya au mkuu wa hiyo serikali ndogo lakini mwishoni waletewe mkurugenzi na viongozi wengine na Rais ili kusimamisha ilani walioshindia na kutekeleza ilani ya washindwa!!

Kenya unadanganya hizo kaunti hazikwalifai kuwa mfano wa federo gavamenti, levo of otonomi zilizonazo sio kwa kiwango cha prinsipo za federalism
 
Hii nchi ilivyo na ukabila, serikali za majimbo zitafanya tufukuzane

Hii nchi kuna maeneo yana rasilimali nyingi sana, maeneo yote ya kanda ya ziwa,kusini na nyanda za juu yako hivyo

Kuna maeneo yalikuaga na rasilimali na sasa zinaenda kuisha, maeneo ya kasikazini mwa nchi

Kuna maeneo hayana kabisa rasilimali, mfano kanda ya kati, kanda ya magharibi

Kwa ukabila unaoendelea sasa hivi, tungekua na majimbo, rasilimali za eneo husika ingekua ni kigezo cha kufukuzana

Siungi mkono hoja ya serikali za majimbo.
 
Ngoja muungano uvunjike utaona Tanganyika itaanza kuvurugika kama Ethiopia. Hata Lukuvi aliwahi kusema

Huyu Lukuvi hazimo ni mdini tu, na ni hatari sana kwa Taifa na sijui kwa nini asikamatwe na kufunguliwa kesi ya UGAIDI

Kwani Nyerere alipoomba uhuru aliomba pia kuivamia Zanzibar ili Tanganyika isivurugike ??
 
Hii nchi ilivyo na ukabila, serikali za majimbo zitafanya tufukuzane

Hii nchi kuna maeneo yana rasilimali nyingi sana, maeneo yote ya kanda ya ziwa,kusini na nyanda za juu yako hivyo

Kuna maeneo yalikuaga na rasilimali na sasa zinaenda kuisha, maeneo ya kasikazini mwa nchi

Kuna maeneo hayana kabisa rasilimali, mfano kanda ya kati, kanda ya magharibi

Kwa ukabila unaoendelea sasa hivi, tungekua na majimbo, rasilimali za eneo husika ingekua ni kigezo cha kufukuzana

Siungi mkono hoja ya serikali za majimbo.

..tukiwa na viongozi wa hovyo-hovyo tutabaguana na kufukuzana,bila kujali kama tuna mikoa au majimbo.
 
.tukiwa na viongozi wa hovyo-hovyo tutabaguana na kufukuzana,bila kujali kama tuna mikoa au majimbo.

..tukiwa na viongozi wa hovyo-hovyo tutabaguana na kufukuzana,bila kujali kama tuna mikoa au majimbo.
Utaratibu uliopo hivi sasa, unawabana sana wakabila

Ukiangalia sehemu nyingi zenye ukabila watakataa kukuuzia ardhi ila hawatoruhusu kukufukuza maana sheria inawabana.
 
Utaratibu uliopo hivi sasa, unawabana sana wakabila

Ukiangalia sehemu nyingi zenye ukabila watakataa kukuuzia ardhi ila hawatoruhusu kukufukuza maana sheria inawabana.

..wakabila watatengwa na wenzao walio wengi na mwisho wake watagundua kuwa ukabila haulipi.
 
Back
Top Bottom