Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Topic: Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?
Wasalaam !
Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.
Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.
HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?
Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.
Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?
Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?
Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?
Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.
SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.
OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!
Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando
Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi
Itafute hii thread iliokwisha anzishwa humu jf na ujibu hili swali
Upendo, Jesca, Lucia Mlowe(Njombe)haki imetendeka. Tuache majungu ya kipuuzi.Tulileta proposal hapa kwamba kila mkoa upate kiti maalum, hasa mikoa ambayo haina wabunge wa chadema. Chama kimetenda haki. Sasa kila mkoa kuna mbunge wa Chadema. Tunachotaka hao wabunge wachape kazi. Mama Kafulila Jesca amepiga kampeni huku ananyonyesha mtoto. Huu ni ujasiri mkubwa kwa chama. Ni haki yake kuwa mbunge wa viti maalum.Nilipo ona jina la Upendo Peneza nikasema haki imetendeka
Leta majina yao na watokako ili mjadala uwe mzuri blabla hatutaki.
lakini shinyanga kakosekana
Wabunge gani wamelalamikiwa? Hivi inawezekana kweli watu wakaridhika na uteuzi wa viti maalumu? Malalamiko na manung'uniko hayakosekani katika vyama vyote. Cha kwanza jaribu kutafuta vigezo na masharti ya uteuzi halafu uone kama vilikiukwa. Wengi wanaolalamika hawasemi ni vigezo vipi na masharti vilikiukwa. Hata rais John alipoteuliwa na CCM kugombea wengi ndani na nje ya CCM yenyewe hawakuridhika na bado hawaridhiki lakini ndiye rais wetu. Ni vigumu kuwaridhisha watu wote wakati wote. Nafasi zenyewe ni chache si kila anayetaka atapataHii inatokana na chadema kuwapa viti maalumu watu mizigo.....mitandaoni kila mpigania ama mfia chama amelaani sana kuwa viti maalumu vimetolewa kwa uprndeleo mwingi sana.........dhana ya #chadema INA wenyewe.....ilikwepo toka enzi na enzi.......
Chadema ni ile ile na INA copy na kupaste mambo ya ccm............
Naona Mashishanga wame msahauUpendo, Jesca, Lucia Mlowe(Njombe)haki imetendeka. Tuache majungu ya kipuuzi.Tulileta proposal hapa kwamba kila mkoa upate kiti maalum, hasa mikoa ambayo haina wabunge wa chadema. Chama kimetenda haki. Sasa kila mkoa kuna mbunge wa Chadema. Tunachotaka hao wabunge wachape kazi. Mama Kafulila Jesca amepiga kampeni huku ananyonyesha mtoto. Huu ni ujasiri mkubwa kwa chama. Ni haki yake kuwa mbunge wa viti maalum.
Upendo, Jesca, Lucia Mlowe(Njombe)haki imetendeka. Tuache majungu ya kipuuzi.Tulileta proposal hapa kwamba kila mkoa upate kiti maalum, hasa mikoa ambayo haina wabunge wa chadema. Chama kimetenda haki. Sasa kila mkoa kuna mbunge wa Chadema. Tunachotaka hao wabunge wachape kazi. Mama Kafulila Jesca amepiga kampeni huku ananyonyesha mtoto. Huu ni ujasiri mkubwa kwa chama. Ni haki yake kuwa mbunge wa viti maalum.