Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Mleta mada hana ushahidi ila wakati anakula 071 kwa mke wake ndo wazo tu likamjia.
 
Safar hii tumepata mbunge viti maalum mkoa wa Rukwa na kwel anastahil kwa kaz alizozifanya cjui ww mtoa post utatumbia nn tukuelewe.
 
Hii inatokana na chadema kuwapa viti maalumu watu mizigo.....mitandaoni kila mpigania ama mfia chama amelaani sana kuwa viti maalumu vimetolewa kwa uprndeleo mwingi sana.........dhana ya #chadema INA wenyewe.....ilikwepo toka enzi na enzi.......


Chadema ni ile ile na INA copy na kupaste mambo ya ccm............

We kweli nyosso kwahiyo mitandaoni ndio chama?
 
Wkt tetesi nimesikia kama mke wa kafulila,Grace tutindaga,upendo peneza wote hawa wapiganaji,kweli hamna jema
 
Thread hii peleka jukwaa la mahusiano na mapenzi..huku sisi siyo kwako
 
Mleta mada hana ushahidi ila wakati anakula 071 kwa mke wake ndo wazo tu likamjia.

Topic: Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Wasalaam !
Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.
Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.
HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?
Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.
Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?
Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?
Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?
Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.
SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.
OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!
Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando
Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi

Itafute hii thread iliokwisha anzishwa humu jf na ujibu hili swali
 
Namashaka sana na level ya 'transparency' ndani ya Chama cha 'Demokrasia' na Maendeleo. Kuna viashiria vingi vinavyoonyesha uchanga wa demokrasia katika chama..hivi ni baadhi ya vitu vinavyofanya watu wengi wapate kigugumizi kukabidhi taifa chini ya hii taasisi
 
Back
Top Bottom