Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Huyu Dada alitoa jina ila tume walirudisha jina,na mtatiro wala hajalalamika,na alipendekeza Dada apewe viti maalum, wala Dada hana kosa tume ndiyo waliogoma kutoa jina

Huyu dada kuna wakati alikuwa akizunguka kivyake,mi nipo segerea,kama alijitoa haya mabango yake pia tume walimuwekea huku mtaani?alikuja kuzunguka na mtatiro mwishoni baada ya watu kwenye mitandao kulizungumzia hili tatizo chadema walikuwa na waroho wengi,nimeona sehemu nyingi walipocmama cuf,chadema pia wapo,ila walipocmama chadema ,cuf wanaheshimu,nilitoka mheza b4 uchaguzi nikakuta mambo ni hayo hayo na jimbo limepotea
 
Anatropia alistahili kabisa kupata, amejenga sana chadema segerea, chadema ilizoa viti vingi vya udiwani segerea kuliko cuf, mtatiro ni famous kwenye mitandao, acha ujinga
 
Katika kuthibitisha ule usemi wa wananchi wengi kuwa UKAWA ni genge la wapiga deal inaonekana mnyukano wa kugawana vyeo umeanza rasmi kabla hata ya kikao cha bunge.CUF wanalalamikia Anatropia yule dada aliyewakosesha jimbo la segerea baada ya kukomaa mwanzo mwisho kutetea haki yake kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum.Kimsingi jimbo hilo lilitakiwa kumsimamisha mtu wa chadema ingawa mtatiro akataka kutia fitna lakini huyu mwanadada akakomaa na baadae kuiacha njia nyeupe kwa mgombea wa ccm.UKAWA BADO SANA KUJIPANGA ILI MPEWE NCHI ...UKAWA BADO NI GENGE LA WAHUNI LISILO NA KIONGOZI...WOTE NI KAMBALE NDANI YA UKAWA.MPIGIENI MAGOTI SLAA ARUDI KUWAWEKA SAWA.UPDATES....Nimetonywa kuwa mgawanyo wa viti maalum ndani ya Chadema ndio umeleta mtifuano mkali zaidi.Watu wanalalamika kukatwa bila sababu.Watu wanalalamikia nguvu walizotumia kuipambania chadema lakini wamekatwa na baadhi ya waliopata hawakuwahi kuwa kwenye harakati mbalimbali za chadema.Stay for updates zaidi...
Inuka tazama mbele. Bygones are bygones. Sasa huyu Atropina kwanini asiungane na Antropus kutafuta haki na maebdeleo bungeni? Haitaingia kichwani CDM kuntosa kada aliwezalisha Madiwani 4 ? tena Dar na kuengeneza Halmashauri ya Cdm?
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye

We Jinga kweli jengeni chama chenu kutoka 85% 2005 mpaka 58% 2015....Magufuli chama kinamfia.
 
Hata Mimi sidhani MTU aliyegharimu jimbo kupewe viti maalumu, kama hilo ni kweli na hatutapewa maelezo yoyote ya kutetea uamuzi huo NITAJITOA UKAWA Mara moja.

Chama kinaendeshwa kwa taratibu na sheria , tatizo lenu ni kuishi kwa hisia na mbaya zaidi hamsomi ili kujipatia maarifa na taarifa sahihi.
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye

Umejuaje kama kinyongo hakijaisha wakati kaisha tamka mwenyewe... Au wewe mkewe
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye
Kumbe unatakaje, ili ithibitike Mtatiro hana kinyongo.
 
Wajinga ndio waliwao, usishangae huyu dada akawa chakula ya wakubwa
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye
Kweli wewe no jingalao, huyo mama baada ya kuondoa jina lake kwa kiapo Tume ilipaswa kuliondoa jina lake kwenye orodha. Lakini kwa vile inafanya kazi kwa misingi na maagizo ya ccm hawakuondoa jina. Sasa hiyo kesi ni wazi kuwa uchaguzi wa Segerea unarudiwa na Mtatiro ndio mbunge na huyo mama ataendelea kuwa mbunge wa VM.
Acha kujifanya msemaji wa Ukawa, wakati unayo mengi ya kujibu kuhusu uongo na ulaghai wa ccm
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nashangaa dada yangu rose kutoswa....wakati wa uteuzi labda makamanda wangu walishapiga viroba.
Makamanda walipiga viroba kwenye hivi viti wamefanya makosa mengi sana watajutia...yani wanampa Atropia wana mnyima Rose...duuu
 
Back
Top Bottom