Naijua UKAWA HATA KABLA YA KUUNDWA KWAKE
Tupe taarifa jingalao uko deep aisee
Ulikuwga wapi wewe mtoa habari wa Ukawa. Duuuh!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naijua UKAWA HATA KABLA YA KUUNDWA KWAKE
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
Katika kuthibitisha ule usemi wa wananchi wengi kuwa UKAWA ni genge la wapiga deal inaonekana mnyukano wa kugawana vyeo umeanza rasmi kabla hata ya kikao cha bunge.
CUF wanalalamikia Anatropia yule dada aliyewakosesha jimbo la segerea baada ya kukomaa mwanzo mwisho kutetea haki yake kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum.
Kimsingi jimbo hilo lilitakiwa kumsimamisha mtu wa chadema ingawa mtatiro akataka kutia fitna lakini huyu mwanadada akakomaa na baadae kuiacha njia nyeupe kwa mgombea wa ccm.
UKAWA BADO SANA KUJIPANGA ILI MPEWE NCHI ...UKAWA BADO NI GENGE LA WAHUNI LISILO NA KIONGOZI...WOTE NI KAMBALE NDANI YA UKAWA.
MPIGIENI MAGOTI SLAA ARUDI KUWAWEKA SAWA.
UPDATES....
Nimetonywa kuwa mgawanyo wa viti maalum ndani ya Chadema ndio umeleta mtifuano mkali zaidi.
Watu wanalalamika kukatwa bila sababu.
Watu wanalalamikia nguvu walizotumia kuipambania chadema lakini wamekatwa na baadhi ya waliopata hawakuwahi kuwa kwenye harakati mbalimbali za chadema.
Stay for updates zaidi...

Hivi mtu kama remijia mtema unamuachaje?
Huyo simfaham boss. Lkn ukweli ni kwamba nafasi zilizotengwa ni chache ukilinganisha na mahtaji. Ndio maana wajanja kama bulaya, matiko walikimbilia majimboni.
Wanaotegemea fadhila wacha wakose, hawana faida yoyote.
Ila nasikitika Regina Lowasa hayumo, angefaa sana. Anatropia angetupwa tu
Huyu alipewa chake na wa ccm kwanini hakuzunguka na mtatiro yeye alijua jimbo la cuf kwanini alirudisha fomu.
Hapa wa kulaumiwa ni ukawa nzima..yani kuanzia kina mbowe na wenzie wote kwa kushindwa kufikia maridhiano ya nani aachiwe jimbo..sio huyo dada!.
Wanashindwa kuheshimu makubaliano yao wenyewe what a shame.
Kulikuwa na uchama mwingi..