Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

na mm ntakuunga mkono, huyu dada nmemchukia kweli km chadema inashindwa kuwachukulia hatua kali watu km hawa, ikulu itapasikia redioni. nina mashaka alihongwa na ccm. Ukifuatilia vzr uchaguz wa Ilala, segelea, kgamboni na mbagala, km UKAWA wangekua na umoja kweli, ccm wasingepata hata jimbo moja Dar

Kwanza nasikia aliungana na mgombea wa ccm wakatu wa uchaguzi sasa nashangaa kupewa ubunge wa viti maalumu.
 
Hata Mimi sidhani MTU aliyegharimu jimbo kupewe viti maalumu, kama hilo ni kweli na hatutapewa maelezo yoyote ya kutetea uamuzi huo NITAJITOA UKAWA Mara moja.
Mtamlaumu huyo Dada lakini baada ya mvutano wa Ukawa kuisha na barua ya kujitoa kuwakilishwa, mkono wa CCM kushirikiana na NEC wakatumia mwanya huo na kusema kuwa request za kuprint karatasi za sample ya wagombea zimeshapelekwa.
 
Huyu alipewa chake na wa ccm kwanini hakuzunguka na mtatiro yeye alijua jimbo la cuf kwanini alirudisha fomu.
kurudisha form usimlaumu.... unakumbuka ya jimbo la nanyamba? Bila cdm makini ccm walikuwa wapate majimbo mengi tu mapema kama bumbuli etc... la kuto zunguka na mtatiro una uhakika? Fanya homework yako vizuri plz....
 
Yeye asubiri kujinyonga kama Yuda kwakuwasaliti Ukawa mtu anaekubali kuwa mwasi kwa shekeli niaibu nandiomaana anaona aibu kujitokeza hadharani labda aende Act Wazalendo kwa wasaliti wenzie
 
Uko sahihi Diva na kuonyesha hawakuwa serious wanampatia viti maalumu kama Hiyo orodha ni ya kweli.

Hawako serious hawa na mambo na 2020 kuna watu watafanya huh ujinga akijua viti maalumu atapata. Seems walisupport ujinga wake
 
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu

Asante kwa kunipa maarifa mapya. Nilikuwa sifahamu kuwa wagonjwa kumbe ndio wanaokufa mapema
 
elimu yako itakuwa ndogo sana topic na ulichokiandika ndani ni tofauti kabisa. Mulugo ametuachia janga la taifa
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye

Tuhadithie kilichojiri huko Ukawa.
Hivi Mshumbusi yuko wapi?

Ukawa ni nani na nani wanachukua viti maalum?

Unaijua ukawa haswa utakuwa afisa habari wa Ukawa wewe jingalao
 
Last edited by a moderator:
Kwa hili ukawa wamefanya ujinga kwahyo wanapenda tabia hizi za antropia. Uteuzi umenibore huu

Huyu dada mnamuhukumu bure.. Alijitoa na alienda mahakamani kuapa jina lake litolewe..

NEC wakarudisha jina lake kinyemela, huku maCCM yakipiga propaganda kwamba huyu dada alikuwa anafanya kampeni za nyumba kwa nyumba kitu ambacho si kweli... Yeye na Mtatiro walishazungumza wakawekana sawa ndio maana hata Mtatiro alisuggest huyu dada apewe Viti maalum..

Hata hivyo, wajinga ni wale wapiga kura, badala ya kumpigia ambaye waliambiwa wampigie, wao wakampigia ambaye sio.. Ninawalaumu zaidi watu wa Segerea kuliko huyo dada na wala hao NEC..
 
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu

Zitafakari njia zako kabla hujasema chochote kwan hata wewe unaejiona siyo mgonjwa hujuwi hatima yako ya kesho, Omba msamaha mbele za Mwezi Mungu.
 
Tuhadithie kilichojiri huko Ukawa.
Hivi Mshumbusi yuko wapi?

Ukawa ni nani na nani wanachukua viti maalum?

Unaijua ukawa haswa utakuwa afisa habari wa Ukawa wewe jingalao

Naijua UKAWA HATA KABLA YA KUUNDWA KWAKE
 
Last edited by a moderator:
Acheni fitna,ukawa ni muungano bora ambao,tuna imani nao ,coz ni nguvu ya umma,watu wanaopuuza maoni ya wananchi(katiba),ni wakuogopa kama ukoma
 
Halaf naamini mtatiro ataingia bungeni tu, wabunge wengi wa CCM waliochaguliwa majimboni ni wagonjwa kuna watakaokufa mapema tu
Kwa hiyo ataenda kugombea popote? Duh, jamaa kumbe ni kiraka! God forbid, ila hata jimbo la Chato ataenda gombea?
 
Mtatiro huyu aliyeukosa urais wa UDSM au?
Pengine angekubali kuanzia harakati zake chadema angefika mbali
mtatiro hakuwahi kugombea urais udsm, kusema aliukosa urais humtendei haki. tulikuwa tunamkubali sana, pamoja na hayo aliepata sapot kutoka kwa mtatiro, (daud deo) aipita kwa kishindo.

.mim nimekuwa shabiki wa ccm katika uchaguzi huu.. na mim ni mkaazi wa segerea kura yangu nilimpa mtatiro.
 
Back
Top Bottom