Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Kwa tabia hizi chadema haitakaa ichaguliwe kuongoza hii nchi
 
Nilipo ona jina la Upendo Peneza nikasema haki imetendeka
 

Kuna watu wanaweza kukaa muda mfupi katika chama na matunda yao yakaonekana!!
Hv ww wwnaume wangekua wanapewa viti maalum vip ungemwona lowassa ndan ?
Ungeuliza kaingia lin???
Je asingestahili???????
 
Mleta uzi acha wivu wa kishoga... Umekosa ubunge unakuja kuanzisha thread ya kijinga hapa.. Shame on you!! Kwani hauwezi kuishi bila ubunge.
 
Nilipo ona jina la Upendo Peneza nikasema haki imetendeka
Upendo, Jesca, Lucia Mlowe(Njombe)haki imetendeka. Tuache majungu ya kipuuzi.Tulileta proposal hapa kwamba kila mkoa upate kiti maalum, hasa mikoa ambayo haina wabunge wa chadema. Chama kimetenda haki. Sasa kila mkoa kuna mbunge wa Chadema. Tunachotaka hao wabunge wachape kazi. Mama Kafulila Jesca amepiga kampeni huku ananyonyesha mtoto. Huu ni ujasiri mkubwa kwa chama. Ni haki yake kuwa mbunge wa viti maalum.
 
tatizo kubwa la wanasiasa wanafikili vyeo kuliko maisha ya watanzani masikini kama ukupata nafasi basi msaidie aliyepata hili kupambana hili kulisogeza taifa mbele kwani wote hatuwezi kuwa viongozi
 
Ester Mpagama (CHICHI)yeye ni uzembe wake na uvivu wa kufukiri, kitendo cha kukosa kura ya mapendekazo jimbo la Chilonwa basi kahamia ACT basi asilalamike ubunge kapishana nao
 
Ndo maana Lowasa alisema vipaumbele vyake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU!, bado tuna watu wengi Tz ufahamu ni mdogo sana!, tutaishia kununua simu za touch na mashangingi huku wanaotuuzia wanabeba hadi mchanga wenye harufu ya madini kwa bei cheeeee!
 
Leta majina yao na watokako ili mjadala uwe mzuri blabla hatutaki.

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/968584-majina-ya-wabunge-viti-maalum-hadharani-ccm-64-chadema-36-cuf-10-a-new-post.html
 
Cyo lazma uanzishe thread;kaa na bumba zko inatosha
 
Wabunge gani wamelalamikiwa? Hivi inawezekana kweli watu wakaridhika na uteuzi wa viti maalumu? Malalamiko na manung'uniko hayakosekani katika vyama vyote. Cha kwanza jaribu kutafuta vigezo na masharti ya uteuzi halafu uone kama vilikiukwa. Wengi wanaolalamika hawasemi ni vigezo vipi na masharti vilikiukwa. Hata rais John alipoteuliwa na CCM kugombea wengi ndani na nje ya CCM yenyewe hawakuridhika na bado hawaridhiki lakini ndiye rais wetu. Ni vigumu kuwaridhisha watu wote wakati wote. Nafasi zenyewe ni chache si kila anayetaka atapata
 
Unafaidi nini kila leo kupiga chabo kwa majirani? Hata kama wana taabu pilipili usiyoila ya kuqaIa nini? kuna siku utajizushia mwenyewe. Shimo unalochimbia wengine utatumbukia mwenyewe. HAPA KAZI TU. Stop majungu.
 
Mleta mada. Badilika kifikra na kimatendo. Inaboa sana. Hakuna ya maana zaidi kujenga taifa? kila leo kupiga chabo kwa majirani kwa nia ya kuwaongelea mabaya huchoki tu?pilipili usiyoila yakuwashia nini? Kasumba hiyk mbaya. Iko siku utajiUshia mabaya zaidi mwenyewe. Shimo unalochimbia wengine utatumbukia mwenyewe. HAPA KAZI TU. Stop majungu.
 
Naona Mashishanga wame msahau
 
Kama kumechafuka kusafishe
Si bora leo ndio kumechafuka cdm ccm kulishachafuka mda sana.
 
Ni vigezo gani vimetumika kumpa ubunge huyu dada aliyetunyima jimbo Segerea?
 

hii ndio sababu ya kumpa ubunge??

au huyo mtoto ni wa mbowe?

mtoto alihitaji comfortability ya ziwa la mama

Tatizo mkiona wana harakati ni shida, mahaba tupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…