GE2025 Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni

GE2025 Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Serikali itoe semina kwa wagombea kama inavyowapa magari.
 
We mbwa CCM wamekuchukulia mkeo, mkiwashindwa jukwaani msivamie tu kila hoja humu, kwl CCM imewachanganya na bado mtaanza kuokota makopo
 
Sasa kuliko kuweka management ya ku monitor leseni za walevi kwanini wasiongeze kodi kwenye hicho kilevi ili kukusanya hio income ?!!!!

By the way legal age ya mtu kuweza kunywa si ndio leseni / kibali chenyewe au ?;
 
Ile mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya ilitakiwa ianze na huyu jamaa
Akipigwa vzr atawataja na wengine
 
Sasa kuliko kuweka management ya ku monitor leseni za walevi kwanini wasiongeze kodi kwenye hicho kilevi ili kukusanya hio income ?!!!!

By the way legal age ya mtu kuweza kunywa si ndio leseni / kibali chenyewe au ?;
zanziber bia inauzwa elfu 14
 
Back
Top Bottom