Kama vyama vinafutwa kwa makusudi sembuse wagombea binafsi hill lilifutwa nyerere alikuwa hai
amna fair kabisa
Kama vyama vinafutwa kwa makusudi sembuse wagombea binafsi hill lilifutwa nyerere alikuwa hai
on point but waweke sheria kama mbunge au yoyote atakaye fukuzwa chama basis atabaki kweny kitu chake adi mda utakapo isha
Hiyo sheria itakaribisha vijakazi wa mabeberu
Itaondoa utamaduni wa Nchi
kweli mwenye nacho huongezewa mkuu
Kijana ccm wanakula na kuvimbewa..
Hawawezi kubali