Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Rudia tena hoja zako hazina mashiko
Huu uzi ni kwa watu wenye akili na wanao jitambua siyo kwenu nyinyi "mataga" mnao shibishwa na Chakubanga hapo lumumba
 
Rudia tena hoja zako hazina mashiko
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
 
Wale wafuasi wake milioni 80 aliowapata baada ya kuhojiwa hardtalk wako kwenye page yake ya mtandao gani?
Twiter au face book au instagram
We kijana ulijiungaje na kikundi cha buku 7 , mbona una kumbukumbu nzuri namna hii ?
 
Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais...
Ni yeye the miracle that walk nikimuona Lissu akiwa hai nalia kwa Furaha na kumshukuru Mungu maana alipopigwa risasi nililia sana kwa uchungu nilienda kanisani ilikuwa Siku ya kuabudu ekarist nikamwambia Yesu wa ekarist naomba uponyaji wa Mtumishi wako mtetezi mlipe sawa sawa na Fadhili zako Fanya uponyaji Namshukuru sana Mungu Lissu yuko hai
 
Uongoo kabisa wandishi wahabari wakp huru aisee acha uongo.
 
Mungu atawaduwaza wachakachuaji wezi wa kura wa CCM watasahaui kuiba kura...
Wishful thinking. Imani bila actions ni ubatiri. Doing the same thing every election na kutegemea matokeo tofauti sio matumizi sahihi ya rasilimali za kichwani
 
Mkuu 1 bilion ni watu wa duniani waliomfuatilia Lissu

mkuu, ukiona siasa zinakushinda usiweke uongo sasa! hakuna namna yoyote dunia nzma unaweza kufuatiliwa na watu bil 1 kwa sku, hata biggest artists wanaofikisha views bil 1 na kuendelea wanazipata izo views baada ya mwaka, ya nini uwe muongo? watu wa dodoma wenyewe walio karibu na msafara hawakujisumbua sasa wewe billion umetoa wap infact video uliopost ina views 9
 


video yenyewe aliopost ina views 9
 
Unategemea Nini hapo Dodoma Ni watu waliojaa hofu
 
Mkuu katika vitu Magufuli amefanikiwa ndani ya hii miaka mitano, ni kutengeneza wanafiki, waoga na wajinga wengi. Na yote haya ni kwasababu anajenga reli na bwawa la umeme.
Viwanda vina ukubwa pia, vidogo, vya kati na vikubwa lazima kuwa wazi nia aina gani ya viwanda. Lakini vipo kweli vya vigae, mabati , nondo , vya matofali , furniture, vya maji kama uhuru peak nk.
 
Viwanda vina ukubwa pia, vidogo, vya kati na vikubwa lazima kuwa wazi nia aina gani ya viwanda. Lakini vipo kweli vya vigae, mabati , nondo , vya matofali , furniture, vya maji kama uhuru peak nk.

Ni lini viwanda havikuwahi kujengwa nchi hii? Tunazungumzia Tanzania ya viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…