Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali.
Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza.
Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.