Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

mkuu huyo ni mashine nyingine ,huyo ni kama wakina kiduku wa korea kaskazin huyo muache alivyo na uzuri nimesoma na wazanzibar nawamisi sana na ni watu wajitambua sana na nishupavu , niseme tz tuna viongozi wengi tu na mwalim na mgombea mwenaza yuko safi hongera chadema maana tumezoea kwamba umri ndo uongonzi but uongozi huzaliwa katika dam thats hata mwl nyerere hakua na elim kubwa kulioko wakolon but waliisoma namber , mwalim ni kiongonzi hata speach yake imeshiba so kwa combination na lissu iko sawa , utamuelewa tu ngoja kampe ziaanze lasmi , nimemkubali sana na kama humkubali basi una ajenda za siri toka moyoni mwako
BoraCDM wangeniomba niwe mgombea mwenza ningewakubalia.
mimi ni mtumbatu!
 
BoraCDM wangeniomba niwe mgombea mwenza ningewakubalia.
mimi ni mtumbatu!
sawa ila ni bahati mbaya pata nafasi kama iyo , kwa sasa mwalim sio saizi yet tena mkuu na kwa mjibu wa katiba yubo chini ya ulinzi mahalum japo chadema ni watu simple sana hawataki makuu but ukweli ndo huo
 
Hata Hashim Rungwe hupata ulinzi
 
Hata Hashim Rungwe hupata ulinzi
sawa mkuu, mkuu ila elewa upo ulinzi wa kikatiba na wakawaida ambao hata mimi au wewe ukitaka unapata tu , ila wa mwalim kwa sasa ni wakikatiba sasa kama wakataa amsha mkono kama wajikuna kichwani nikuone na bahada ya apo waulize wazee waliokuzunguka then leta majibu mkuu
 
Uongozi sio suala la gender. Ni suala la uwezo.
Kama mwaname ameonekana anaweza atapewa nafasi and vice versa

Ficheni ujinga wenu.
Gender balance muhimu na ingeleta balance na kuaminiwa hata wanawake ambao ni wapiga kura wengi. Unajua maana ya equal representation kweli?
 
Uongozi sio suala la gender. Ni suala la uwezo.
Kama mwaname ameonekana anaweza atapewa nafasi and vice versa

Ficheni ujinga wenu.
Mbona Kuna wanawake wengi wenye uwezo kuliko wanaume hata kukimbia chama wanaume ndio walikuwa waogal
 
Gender balance muhimu na ingeleta balance na kuaminiwa hata wanawake ambao ni wapiga kura wengi. Unajua maana ya equal representation kweli?
So 2015 ulimchagua magufuli kwa sababu tu mgombea mwenza wake alikuwa yule mama ?
 
Back
Top Bottom