Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
HahahahaAcheni utani kwenye mambo serious...acheni kutufokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaAcheni utani kwenye mambo serious...acheni kutufokea!
Mwalimu ana degree,Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali. Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza. Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
Ana dharau za kishamba kama yule mshamba mwenye degree nne aliyesanuliwa na darasa la saba.Mtoa mada ana dharau sana duh
Hapo umechemka, salum Mwalimu awe sawa na malkia wa uingereza?Vp samia anakazi gani? Cheo cha umakamu wa Rais tz hakina tofauti na malkia wa uingereza, werevu watanielewa.
Mwalimu alisoma IFM na alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi pale acheni kupotosha na kuwasemea uongo watu.Hivi naibu rais aliyepita bwana Daud Albert Bashite Malyangiri a k a DAB ,mwenye mkoa wake ana elimu gani?Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali. Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza. Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
Why not???Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Polepole a k a Alilamba ZERO yaani "no cavity " pale AzaboyMsemaji wa chama cha CCM kuwa mtu kama polepole ni sawa? CCM mnachekesha sana.
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Mkuu ondokana na haya mawazo mgando.Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
kuliko hata mbowe na sugu na lema..anatosha.
..ana elimu kuliko Edward Sokoine, au Rashid Kawawa.
chadema haijulikani zanzibar.Hivi Zanzibar yote mlikosa mtu?