wanawake wameshtuka hawataki tena sababu ya kale katabia.Hawajiamini ukitaka upate follower's lazima uungwe mkono na wanawake bila hivo unapata tabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanawake wameshtuka hawataki tena sababu ya kale katabia.Hawajiamini ukitaka upate follower's lazima uungwe mkono na wanawake bila hivo unapata tabu sana
huu ni msimu wa siasa hivyo tegemea kupata mambo mbali mbali,msimu ukiisha chambuzi zitaendelea,.Vijana wengi humu JF mnaleta mada kama za udaku vile, mnashindwa kuchambua kwa nini unataka kutuonyesha kwanini mgombea mwanza wa cdm hafai!
sawa ila ni bahati mbaya pata nafasi kama iyo , kwa sasa mwalim sio saizi yet tena mkuu na kwa mjibu wa katiba yubo chini ya ulinzi mahalum japo chadema ni watu simple sana hawataki makuu but ukweli ndo huo
Hivi jaribu kuwa mkweli wa Roho yako, Mwalimu anayegombea na John wenu aliye kwenye kiti kikuu waweza kuwaweka meza moja ya mjadala wa uelewa wa mambo?Eti Huyu bwana Mwalimu ndio awe Makamu wa Rais wa JMT?kweli Tanzania ndio imefikia hapa?
Ndio maana nimesa waerevu pekee ndio watakao nielewa, hizi sio level zako jombaa, nenda jukwaa la watoto kama lipo mkajadili kucheza goroka( game la nyoka)Hapo umechemka, salum Mwalimu awe sawa na malkia wa uingereza?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Utakuwa mlikamatana ugoniHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
kuliko hata mbowe na sugu na lema
kuliko hata mbowe na sugu na lema
Mtaji mkubwa wa ccm ni wajinga.Ndio hushawishiki nacho Ila wanawake wengi ni mtaji wa CCM na wanatumia kila njia kuwa win kiurahisi na kuleta balance, Sasa usipojiongeza mtabaki kulia mnaibiwa, hata bidhaa kabla ya kutengenezwa huangalia demand na Sina ya wateja
Hivi ni kweli kwamba hata huyu Makamu wetu aliyepo nae alifeli form four ingawa baadae aliweza kujiendeleza?Ukweli ni huo kuwa ni mgombea wa Chadema, lakini hauondoi mapungufu ya Mwalimu na uwezo wake mdogo alio nao wa kuongoza nchi yetu na sio nchi ya Chadema.
Na upungufu huu unatuhusu nchi nzima kwa kuwa haendi kuongoza nchi ya Chadema mliompenda, mke wake na watoto wake. anaomba kuongoza nchi ambayo mimi na wewe tumeweka matumaini ya maendeleo na vizazi vyetu vijavyo.
Nyinyi Chadema mmezoea Mwenyekiti Mbowe -form six failure, katibu mkuu Myika - college drop out, Naibu katibu mkuu yule jamaa wa Iringa -form iv, Naibu katibu mkuu -m Mwalimu Cheti. Sasa msilazimize mapungufu haya tuyakubali wananchi wote.
Lazima tujiongeze tupunguze mapenzi kwa kuendekeza ujinga wenu ambao nyinyi mmeukubali.
ikiwa kina Msukuma na kibajaji hushangiliwa na kuonekana wa maana sana na wenye ushauri wenye weledi iweje SM awe kioja kwenu?Eti Huyu bwana Mwalimu ndio awe Makamu wa Rais wa JMT?kweli Tanzania ndio imefikia hapa?
I never thought you will come out with such topic.. Kijana anapikwa kama maelfu ya vijana wengine woteHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Unataka tukufukulie makaburi ya Samia ? usije ukamponza mama wa watu kwa ujinga wakoHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Ana elimu gani Mwalimu mkuu?..anatosha.
..ana elimu kuliko Edward Sokoine, au Rashid Kawawa.
Nimecheka sana mkuu hawa jamaa hawajajipangaHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?