Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Yaani CHADEMA ni kituko sana, Salum Mwalimu awe mgombea mwenza wa Tanzania.. Haaaa haaaa, inachekesha sana, yaani someone who has the lowest thinking ability, Form 4 certificate, tena div 4, almost div 0, akaenda journalism akapata certificate, with unknown lowest academic background, yaani senseless choice kabisa..
Kituko sana, ukiambiwa CHADEMA wana matatizo ya kufikiri mnakataa, yaani kweli Salum ni mgombea mwenza, watabakia kuusikia urais kwenye TV tu hawa. Watu wana mzaha sana, ujue tunaongelea Mgombe mwenza wa Urais Tanzania, alafu CHADEMA wanachagua kibuyu hovyo kabisa, aibu tupu, yaani.. 🤔