Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Mwl Nyerere aliwahi kusema Mji mkubwa kama Dar es salaam uongozwe na Chadema?halafu waongoze nchi nzima? basi dunia itashangaa kwa tanzania kuchezea Amani tuliyonayo...tusifanye majaribio
 
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?

Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais?

Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Yaani unamdharau kwa sababu ni mwalimu. Nyerere kwani alikuwa na kazi gani kabla ya urais. Waziri mkuu wa sasa si ni mwalimu! Au hata mzee mwinyi nasikia alikuwa mwalimu.
 
Kubadilisha mavazi tu kila linapotokea suala la kuonekana kwenye TBC 1

Huo sasa ni udhalalishaji wa kijinsia. Kazi yake ukipewa utaweza? Hata nguo za kubadilisha huna. Wivu tu, lakini mama wa watu anapeta na baada ya miaka kumi anapumzika na kustarehe na pensheni yake, wewe ndiyo kwanza unatowezea kauzu.
 
Yaani unamdharau kwa sababu ni mwalimu. Nyerere kwani alikuwa na kazi gani kabla ya urais. Waziri mkuu wa sasa si ni mwalimu! Au hata mzee mwinyi nasikia alikuwa mwalimu.
Ummy Mwalimu na ye ye ni mwalimu ha ha ha
 
Wewe ndo upunguze ujinga maana naona umejing'ata ng'ata tu.Nakukumbusha tu kua uwezo wa akili za mtu haupimwi na wingi wa madarasa.Na swala la mtu kua kichaa hilo ni tatizo la ugonjwa kwahiyo kua na akili japo zakuweza kujua katiba inaposema binadamu wote ni sawa inakua inamaanisha nini.Nakukumbusha tena kua Binadamu wote ni sawa, sasa kama wewe unawaza mtu kua bora dhidi ya mwingine ni kumiliki magari, fedha na majengo au vyeti vingi vya shule au vyeo vyakisiasa utakua na tatizo lakufikiri.
That is a dead mind reasoning, go back and rethink again and again, kiakili watanzania wote sio sawa na binadamu wote sio sawa, usawa haupo, na Mungu hajaumba binadamu wote wawe sawa katika akili zao, hapa tunaongelea akili, kwa hiyo mtanzania kichaa nae ni sawa na wengine au Form 4 certificate ya Salum ni sawa na IQ ya mtu wa First Class UD, Masters, PhD, Usawa ktk brain haupo, na tunaongozwa na brain power, pia kuongoza watu vema is all about brain power, na kipimo kizuri ni shule hakuna kipimo zaidi ya hicho kwa sasa..

So kiakili binadamu wote sio sawa, acha ujinga plz.. Binadamu wote ni sawa in biological similarities & social needs tu, ila sio akili ambayo tunategemea kuongoza maisha yetu na watu wengine.. Ujue vema usawa upi unaongelea.. Acha ujinga plz, ujinga ni utumwa.. Umeelewa? Usikute uko katikati ya confusion ww, wala hujui usawa upi unaongelea..
 
Kama Magufuli anaweza kuwa rais kwa nini Mwalimu asiwe makamu? Magufuli hata ufahamu wake wa mambo ya kawaida unaonyesha elimu yake alisoma kwa kukariri.
Najua unasema hivo kwavile una expressing freedom.
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema Mji mkubwa kama Dar es salaam uongozwe na Chadema?halafu waongoze nchi nzima? basi dunia itashangaa kwa tanzania kuchezea Amani tuliyonayo...tusifanye majaribio
Inaonwkana hapo kwenu Nyerere ni mungu
 
Nadhani anataka awe kama mchepuko wa mama yake
😁😁😁😁😁@Asprin kwanini lakini???
Anyways, watu wengi wamemponda sana mgombea mwenza wa Lissu bwana Salum Mwalim lakini cha inasikitisha hawamjui. Wanatumia habari za kusikia vijiweni kumsema vibaya tuu
 
😁😁😁😁😁@Asprin kwanini lakini???
Anyways, watu wengi wamemponda sana mgombea mwenza wa Lissu bwana Salum Mwalim lakini cha inasikitisha hawamjui. Wanatumia habari za kusikia vijiweni kumsema vibaya tuu
Watanzania wana akili sana..!
 
CCM wenyewe walitufanyia mzaha sana kutuwekea mkandarasi kuwa mgombea urais. Ona alikoipeleka nchi. Vichakani kabisa.
 
😁😁😁😁😁@Asprin kwanini lakini???
Anyways, watu wengi wamemponda sana mgombea mwenza wa Lissu bwana Salum Mwalim lakini cha inasikitisha hawamjui. Wanatumia habari za kusikia vijiweni kumsema vibaya tuu
Kwanza D na baba yake hawajambo lakini?

Mijinga pekee inayodhani mgombea mwenza ni lazima awe mzee mwenye kitambi au mwanamke aliyegonga kwenye menopozi...
 
Back
Top Bottom