Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?

Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais?

Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

why do you underestimate the capabilities of salum mwalimu. Chadema has made that decision. Young people are given.the opportunities to prove themselves. Salim.Mwalimu unaweza
 
..Ofisi ya Makamu wa Raisi inahusisha wizara za Mazingira, na wizara ya Masuala ya Muungano.

..mimi nina imani Salum Mwalimu ana uwezo wa kuyamudu majukumu hayo.
Sawa kabisa urais na umakamu wa rais sio sawa na kubebe zege
 
why do you underestimate the capabilities of salum mwalimu. Chadema has made that decision. Young people are given.the opportunities to prove themselves. Salim.Mwalimu unaweza
Basing on my own analysis hapa Chadema waliingia choo kibovu
 
Wote liability. Saccos hawana mtu unayeweza thubutu kumuita kiongozi, wote wachumia tumbo tu. Chama cha mfukoni, mwisho wenu umefika..
 
Kama Magufuli anaweza kuwa rais kwa nini Mwalimu asiwe makamu? Magufuli hata ufahamu wake wa mambo ya kawaida unaonyesha elimu yake alisoma kwa kukariri.
Ente...Enterpinyush... arrgh hiyo hiyo.
Mara "Mnaweka " fontifed"...
Phd?!
 
Wote liability. Saccos hawana mtu unayeweza thubutu kumuita kiongozi, wote wachumia tumbo tu. Chama cha mfukoni, mwisho wenu umefika..
Mwisho mlisema tayari,after miaka mitano ya kampeni zenu,time hii mmeanza ku suffer kama hamkuwa madarakani.
Mmelegea kutoka kufokea wananchi mpaka kuomba mitano ya kumalizia,mara paap prototype kapiga magoti hahahaharghhhh
 
Kibajaji na Musukuma ni sehemu ya watunga sheria za nchi zinazotumiwa na watu zaidi ya milioni hamsini.
Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali.

Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza.

Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
 
Chadema hawapo serious kabisa!
Wanachukulia nchi kama ghetto
 
MGOMBEA URAIS wa CHADEMA Tundu ni mzaha wa CHADEMA kwa WATANZANIA!​

Back
Top Bottom