Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Dah mi mwenyewe niliwahi kuhoji sikupata jibu. Kuna mambo ni magumu kukaa akilini. Eti ikitokea Lissu kawa rais akapata changamoto zika athiri urais wake Salum Mwalimu ndo anakuwa rais wa JMT!
😀😆 kwa hili chadema hawakuwa makini
 
Sasa kama huyo Lissu mwenyewe watu wameona anafaa kuwa Rais wa Tz kwa sifa tu za kuibwatukia serikali ndio ushangae huyo mgombea mwenza wake? Hii michezo huwa haihitaji hasira,mie hata kipindi kile cha Lowassa sikuwahi kuamini kwamba et Lowassa serious anataka kuwa rais wa nchi.
 
..anatosha.

..ana elimu kuliko Edward Sokoine, au Rashid Kawawa.
Sijapenda mleta mada alivyo onesha ndugu Mussa Mwalimu hastahili kuwa makamu wa raisi bila kusema sababu za kusema hivyo.
Huenda kwa mtazamo wake ameona Ndugu Mussa Mwalimu hana haiba ya kuwa raisi ( he has no presidential personality), lakini mtazamo pekee siyo kipimo sahihi lazima atoe hoja kutetea mtazamo wake.
 
Ukweli ni huo kuwa ni mgombea wa Chadema, lakini hauondoi mapungufu ya Mwalimu na uwezo wake mdogo alio nao wa kuongoza nchi yetu na sio nchi ya Chadema...
Hujui ulisemalo. Dunia ya maarifa,ujuzi na performance siyo Elimu n.a. vyeti
 
Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali. Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza. Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
Hebu thibitisha haya unayoandika hapa!
 
Mkuu huyo ni mashine nyingine ,huyo ni kama wakina kiduku wa korea kaskazin huyo muache alivyo na uzuri nimesoma na wazanzibar nawamisi sana na ni watu wajitambua sana na nishupavu , niseme tz tuna viongozi wengi tu na mwalim na mgombea mwenaza yuko safi hongera chadema maana tumezoea kwamba umri ndo uongonzi but uongozi huzaliwa katika dam thats hata mwl nyerere hakua na elim kubwa kulioko wakolon but waliisoma namber , mwalim ni kiongonzi hata speach yake imeshiba so kwa combination na lissu iko sawa , utamuelewa tu ngoja kampe ziaanze lasmi , nimemkubali sana na kama humkubali basi una ajenda za siri toka moyoni mwako
Mwalimu alikuwa ana masters degree alipoikomboa nchi..
 
Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali. Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza. Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
We kenge una elimu gani?
 
Dah...CDM...hebu tuweni siriaz kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15]
 
Sijapenda mleta mada alivyo onesha ndugu Mussa Mwalimu hastahili kuwa makamu wa raisi bila kusema sababu za kusema hivyo.
Huenda kwa mtazamo wake ameona Ndugu Mussa Mwalimu hana haiba ya kuwa raisi ( he has no presidential personality), lakini mtazamo siyo kipimo sahihi lazima atoe hoja kutetea mtazamo wake.

..Ofisi ya Makamu wa Raisi inahusisha wizara za Mazingira, na wizara ya Masuala ya Muungano.

..mimi nina imani Salum Mwalimu ana uwezo wa kuyamudu majukumu hayo.
 
..Ofisi ya Makamu wa Raisi inahusisha wizara za Mazingira, na wizara ya Masuala ya Muungano.

..mimi nina imani Salum Mwalimu ana uwezo wa kuyamudu majukumu hayo.
Ni kwanni VP huwa anapewa wizara za kichovu hivyo ?
 
Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali. Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza. Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
akili yako ni kama ya nani mkuu?? Jitaje mwe yewe
 
Back
Top Bottom