Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais?
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

why do you underestimate the capabilities of salum mwalimu. Chadema has made that decision. Young people are given.the opportunities to prove themselves. Salim.Mwalimu unaweza
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais?
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
😎😎Wewe ni nani kumu under rate binadamu mwenzio? So what si umpambe mgombea mwenza wa chama chako?
Wamevuna walichopandani kweli
Majibu wameyapataHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais?
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
MGOMBEA URAIS wa CHADEMA Tundu ni mzaha wa CHADEMA kwa WATANZANIA!