Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh dogo jana kaambulia kuhutubia uwanja mtupu.Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
karibu Kibo leoduh dogo jana kaambulia kuhutubia uwanja mtupu.