Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NUKUU YA LEO: "Akimaliza na sisi ataanza na nyinyi". By TAL.Huyu Gambo wamemlea wenmyewe, amefanya atrocities of the highest degree kwa wapinzani wakamshangilia na kumpongeza, hawa hawa. Sasa amewageukia wao, wanalalama! Kaza spana Gambo, kaza spana baba, kaza! Piga Lock, piga ribit!
Ni kweli Mrisho kadekezwa na CCM wao wenyewe akiwa RC wa mkoa ule. Mrisho aliingilia mradi wa kituo cha afya ambao Lema aliuomba kwa wafadhili, wao waliona ni sawa. Wamelikoroga wenyewe, walinywe.Huyu Gambo wamemlea wenmyewe, amefanya atrocities of the highest degree kwa wapinzani wakamshangilia na kumpongeza, hawa hawa. Sasa amewageukia wao, wanalalama! Kaza spana Gambo, kaza spana baba, kaza! Piga Lock, piga ribit!
Kuna Bwana Mdogo mmoja nilikuwa naongea nae kwenye WhatsApp; yeye aliniomba nimsupport; kwenye Harakati zake ALishawahi kuwa Diwani akapiga Chini, Miaka ya Nyuma now anataka kurudi kwenye Politics;Wajumbe walionunuliwa walilazimishwa kupiga picha karatasi ya kura kama ishara ya ushahidi kwamba walitimiza ahadi yao kwa mtoa rushwa.
Kuna Bwana Mdogo mmoja nilikuwa naongea nae kwenye WhatsApp; yeye aliniomba nimsupport; kwenye Harakati zake ALishawahi kuwa Diwani akapiga Chini, Miaka ya Nyuma now anataka kurudi kwenye Politics;
Kwamba Gambo aliahidi pikipiki kwa wajumbe almost 123, kwa sharti la kwamba atakayempigia kura lazima aipige picha ili aje apewe Kadi na piki piki yake; wakati wa upigaji kura ikaonekana kuna zoezi la upigaji picha, Msimamizi wa uchaguzi akapiga marufuku utaratibu huo; Greenguard wale wakaambiwa wasimamie kuhakikisha hakuna upigaji picha.
Sasa kuna wajumbe ambao wamempigia kura lakini hawajapiga picha, Wale waliopiga picha wameshapewa Motorcycle zao; ambao ni wajumbe 41 tu. So wale wengine wameamua kusema.
Lakini Gambo amewaahidi kwamba wasubirie Mchakato wa Halmashauri kuu Taifa kama wakimpitisha atawapa wote; Hivyo maombi ya waliosalia ni kwamba Gambo Asikatwe Jina lake ili wapata Pikipiki zao.
Warioba Mashaka
St. Georges, Bermuda
katoa wapi pesa za nje nje kiasi hicho kijana huyu aliyekuwa RC?