Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Aliyeshiriki kura za maoni ubunge Arusha bwana Victor Njau na kutupiliwa mbali kisha kufichua mikakati ya Rushwa iliyofanyika kwa kiwango cha kutisha yamemkuta.
Akiwa hospitalini Mount Meru aliko lazwa kwa kipigo kikali na kutupwa ameeleza yaliyomkuta.
Kweli CCM ni chama hatari na kuna uwezekano hii rushwa wakatoana roho, ndio maana kwa zaidi ya wiki sasa Kamati kuu inashindwa kukutana na kutoa majina ya wagonbea ubunge kinyume na kalenda yao na ya Tume.
Hakika JPM ameharibu sana chama alichokabidhiwa na JK. Kweli alikipewa kimechafuka lakini yeye kakiozesha na kunuka uvundo