Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

Huyo n Naibu speaker tuu,hata mjikojoleee bungeni anarudi Sasa sijui mnahangaika nini!kwani awamu iliyopita mlimchagua?
 
Wanachokifanya CCM Si kupuuzwa na vyama vyengine, Vizazi vinaingia katika siasa angali vichanga.

Mapenzi yanaanza utotoni ndio maana mama akimuacha mtoto analia, wanachora ramani ya mapenzi kwao kwani wanaamini kuna tabaka linaondoka.

Kuwatoa watoto shule sikubaliani nalo.
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangy utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Ndiyo maana tukiwaambia siasa hawaijui wanaona kama tunawaonea. CCM inawekeza kwa ajili ya Leo, kesho na keshokutwa.

Chadema inawekeza kwa ajili ya leo. Hata Sera yao ya maendeleo ya watu ni uwekezaji Wa leo bila kujali kesho na keshokutwa itakuwaje.

Watoto wanaonekana leo kwenye mikutano ndiyo wapiga kura Wa kesho kutwa
 
CCM uwa inawajenga watoto kuanzia chipkizi.chipkizi ni watoto wanao elekea ujana kwa vijana mliozaliwa miaka ya karibuni inawezekana hamfahamu ilo. Watoto wanashonewa sare za CCM tangu wakiwa bado wabichi na kufundishwa itikadi za CCM. Usi ione CCM ni kubwa katika Afrika, msingi wake umeanzia chini sana. Ili upate uhakika waulize baba na mama yako kuhusu chipkizi wakupe ufafanuzi kabla hauja andika usilo lijua.
 
Maisha ya watoto wetu yapo hatarini.
Bahati mbaya wahusika wapo tayari kutumia lugha yoyote kutetea udhalimu huu. Naamini ipo siku jamii italitambua hili hata kama si kesho, lakini hukumu mioyoni itabaki.

Picha za watoto wetu zinahuzunisha, lakini hakuna namna.

Picha zao zinaleta maumivu kuliko hata matusi/ na kejeli za wanasiasa wa pande zote wanapokuwa majukwaani.
Tutumie mamlaka kwa namna inayompendeza Mungu
 
Kwa wale Wahenga wenzangu, mnakumbuka Korea Kaskazini ilikuwa inaongozwa na Kim Il Sung. Watoto wadogo walikuwa wakiambiwa walie na kumuomba mungu wao ili awaletee biskuti na pipi. Wale watoto walifanya vile na hawakuvipata vile walivyoomba. Hapo basi waliambiwa wamuombe Kiongozi Mkuu Kim Il Sung ili wapatiwe walichohitaji. Na mara moja mabox ya biskuti na pipi yakamwagwa mbele ya watoto hao. Watoto hao walikuwa na wakawa watu wazima. Je, utashangaa kwamba alipofariki huyo Kim Il Sung hao watu wazima walilia kwa uchungu na kutoa machozi na kamasi mbele ya jeneza lake? Ogopa sana "indoctrination" kwa watoto wadogo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
waac
 
Sheria za haki za zinakataza watoto kutumikishwa iwe ni kuajiriwa, nk.:
>Kuwatoa madarasani ni kunyima watoto haki zao,
>Kuwashinisha njaa siku nzima kwenye mikutano ya kampeni ni kuwanyima haki,
>Kuwaanika juani pia ni kuwanyima haki,
>Kuwaondolea utu na malezi bora pia ni kuwanyima haki.
 
CCM kwisha habari yao dadadeq.. wasubiri kuiba kura & kuwanunua & kuwalewesha & kuwazuia mawakala wasiingie kwenye vituo hadi saa nne nne hivi wapitishe mabox yao yaliyokwisha kupigiwa kura.
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangy utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
I do not think your theory does hold water! Tumezaliwa na Tumekulia kwenye chama kimoja, wimbo mmoja wa Tanu/CCM, rais mmoja Nyerere and the like, lakini leo tupo upinzani!
 
Bonge la nyomi
 
Me Niko mwanza acha kusema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…