Uchaguzi 2020 Mgombea Udiwani CHADEMA Kata ya Sandari Temeke akatwakatwa mapanga na kupokonywa fomu

Uchaguzi 2020 Mgombea Udiwani CHADEMA Kata ya Sandari Temeke akatwakatwa mapanga na kupokonywa fomu

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
“Taarifa mbaya tulizopokea muda huu ni kwamba mgombea Udiwani Kata ya Sandari kwenye Jimbo letu la Temeke amevamiwa muda huu, akapigwa mapanga na kunyang'anywa form ya Ugombea. Viongozi wa jimbo wanafuatilia.”

IMG_20200824_233115.jpg
 
]
Taarifa haitaji jina la mhanga wala chama anachogombea.

Malizia hapo
 
Narudia Tena siasa Ni Mchezo mchafu. Ukiamua kuingia huko Basi jua muda wote uhai wako unahitajika kwa mtu au watu Fulani.

Siasa siyo taasisi ya dini Bali Ni uwanja wa mapambano Ila zisitufanye tuumizane na kuuana Sisi kwa Sisi.
Kuna maisha nje ya siasa wakuu.
 
..atakuwa ni mgombea wa ACT wazalendo.

..aliyetoa taarifa ni Joran Bashange ambaye naamini ni kiongozi ktk chama hicho.
 
Narudia Tena siasa Ni Mchezo mchafu.
Ukiamua kuingia huko Basi jua muda wote uhai wako unahitajika kwa mtu au watu Fulani.

Siasa siyo taasisi ya dini Bali Ni uwanja wa mapambano Ila zisitufanye tuumizane na kuuana Sisi kwa Sisi.
Kuna maisha nje ya siasa wakuu.
Milion 500 za mbunge baada ya five yrs
 
Katika hali ya kushangaza mgombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA amevamiwa na watu wasiojulikana na kumkatakata na mapanga na hivi sasa yupo hospitali kupata huduma ya kwanza.

Jamani kama watanzania tunaelekea wapi? Je ccm imeshindwa kuongoza nchi hii kiasi kwamba sasa inabidi itumike nguvu kuzuia watanzania?

Haya tuendelee, mwisho utafika.
IMG_20200824_234820.jpg
 
CCM Mpya wamekasimu shughuli za "kisiasa" kwa wahuni kutokana na wanasiasa wa CCM kuwa waoga wasio na hoja za ushawishi kuvutia wapiga kura kuwachagua kupitia sanduku la kura, CCM Mpya wanataka ushindi wa bila kupingwa wa mezani.
 
Hii taarifa imetolewa twitter na Bashange. Huyu inaelezwa si wa CHADEMA bali ni wa ACT.
 
Who is behind all this cruelity?
Hata angekuwa wa chama chochote hii sio jambo dogo !! Hii nji mnaipeleka pabaya sana kwa style hii.
Ishaonekana na hata semwa wazi opposition hawatakiwi. Basi tuwashinde ktk ballot box sio uhuni uhuni mpk huu wa kutaka kuwatoa maisha !! Na hizi cases seems zipo coordinated...

Mnaofanya haya, kuratibu au fund, na hata kushangilia ipo siku yenu ya malipo pia !!!
 
Back
Top Bottom