Uchaguzi 2020 Mgombea Udiwani CHADEMA Kata ya Sandari Temeke akatwakatwa mapanga na kupokonywa fomu

Uchaguzi 2020 Mgombea Udiwani CHADEMA Kata ya Sandari Temeke akatwakatwa mapanga na kupokonywa fomu

sasa kama jiwe hataki ushindani si afute tu huo uchaguzi mkuu abaki kuwa mfalme?!.
 
Who is behind all this cruelity?
Apparently CCM is running the show of uncivility politics throughout the country. Now we know why the Government banned Tanzania Daima newspaper....it was part of the strategy to plan and carry out these political killings.
 
CCM Mpya wamekasimu shughuli za "kisiasa" kwa wahuni kutokana na wanasiasa wa CCM kuwa waoga wasio na hoja za ushawishi kuvutia wapiga kura kuwachagua kupitia sanduku la kura, CCM Mpya wanataka ushindi wa bila kupingwa wa mezani.
CCM mpya ni genge la kigaidi
 
Ni kwenye shitihole kantiri pekee au hata kwenye dunia ya Kwanza?

Sikumbuki kusikia ujinga kama huu nchi kama Marekani.
Huijui siasa ndo maana unaongea upupu mkuu..

Marekani imeua Marais wake wawil livelive na watu wanadaiwa wasiojulikana.

Mtu Kama JF. Kennedy na Abraham linkolin.
Siasa Ni Mchezo mchafu kote usitake kuichukulia marekan Kama MUNGU wako nakwenyewe kuna mapuuza Sana tu.
 
Upinzani wameendelea kuhubiri amani hali hawa wengine wanahubiri shari.

Eeh mola wetu hebu ukawakirimu waja wako sawa sawa na matendo yao.

Hizi ndiyo sala zetu.
 
Huijui siasa ndo maana unaongea upupu mkuu..

Marekani imeua Marais wake wawil livelive na watu wanadaiwa wasiojulikana.

Mtu Kama JF. Kennedy na Abraham linkolin.
Siasa Ni Mchezo mchafu kote usitake kuichukulia marekan Kama MUNGU wako nakwenyewe kuna mapuuza Sana tu.

Una uhakika ilikuwa ni siasa?

Halafu Hilo la kuuawa Rais, limetokea miaka ya Karne ya 21?

Kama Marekani Ni Mungu wako, Ni wewe, usinipatie miungu yako.

Marekani na nchi zilizoendelea nimetolea mfano maana demokrasia tuliikopa kwao, au tuliianzisha sisi? Kama hatuwezi demokrasia, bora turudi kwenye chama kimoja na siyo UJUHA tunaofanya.
 
Act na Chadema mbona mnamgombania muhanga.kila mtu anasema ni mgombea udiwani wa chama chake.
 
kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa ccm hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone. Pia tembeeni na kopi za fomu kwenye bahasha ifananoyo na ya nec ili kuwaadaa waporaji wakija wapore hizo kopi huku halisi mkiwa mmezificha mnapopajua wenyewe. Tumieni kanuni namba 9 ya shetani mtu akikufanyia ushenzi mfanyie mara kumi yake mpaka ajiulize huyu ni mtu au.Endeleeni kuwa wajinga mtatekwa hadi mchakae
 
Narudia Tena siasa Ni Mchezo mchafu. Ukiamua kuingia huko Basi jua muda wote uhai wako unahitajika kwa mtu au watu Fulani.

Siasa siyo taasisi ya dini Bali Ni uwanja wa mapambano Ila zisitufanye tuumizane na kuuana Sisi kwa Sisi.
Kuna maisha nje ya siasa wakuu.
Acha kuunga mkono uhuni na ushenzi, siasa siyo chafu ila wanasiasa wahuni ndiyo wachafu.
 
Back
Top Bottom